Diwani Chadema, aapa kulala mlangoni pa mwekezaji. hadi wafanyakazi walipwe!
![](http://1.bp.blogspot.com/-PqX1Y1ctR40/VPkCCe53ilI/AAAAAAAAR4Q/krJ-iKZpqrM/s72-c/IMG-20150305-WA0000.jpg)
Na Bryceson Mathias, Mtibwa Mvomero.
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Mtibwa, Luka Mwakambaya, ameapa atalala mlangoni pa Mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa, akishirikiana na wafanyakazi, hadi watakapolipwa mishahara yao ya miezi miwili wanayodai.
Akizungumza na Wafanyakazi nje ya lango la Kiwanda baada ya kumpigia simu kumlalamikia jinsi Mwekezaji alivyobadilisha maafikiano waliyoafikiana Jumatano Machi 4, mwaka huu kwaba kesho atawalipa mishahara yao,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_RJ0uWxHV6s/XuC9GztmGmI/AAAAAAALtVM/YQIlUtXEPv464sW1ECOH5taZSIHqjOCeQCLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
DIWANI AAPA KUSIMAMA NA MAGUFULI.
NA DENIS MLOWE, IRINGA
DIWANI wa Kata ya Mwangata iliyoko Manispaa ya Iringa,Nguvu Chengula ameapa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Rais John Pombe Magufuri anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa 2020 unaotarajiwa kufanyika Oktoba.
Akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa Boma, Chengula alisema kuwa atatumia jitihada zote pamoja na Mali anazomiliki kuhakikisha CCM inashinda chini ya Rais Magufuli kwa kutoa magari ya kampeni na vipaza sauti...
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Wafanyakazi watishia kupoka shamba la mwekezaji
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Mwekezaji adaiwa kutolipa mishahara ya wafanyakazi
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
CHADEMA: Mwekezaji Mtibwa anyang’anywe kiwanda
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka serikali kumnyang’anya mwekezaji wa kiwanda cha sukari Mtibwa rasilimali hiyo kutokana na kushindwa kuwalipa wakulima na wafanyakazi madai yao. Diwani wa Mtibwa, Luka...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Diwani Chadema mbaroni
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Diwani CHADEMA awashukia viongozi
MWENYEKITI wa Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kinondoni, Boniface Jacob amewashukia baadhi ya viongozi wa manispaa hiyo na mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutoa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Diwani CHADEMA akemea uhalifu
DIWANI wa Ilomba, Dickson Mwakilasa (CHADEMA) amesema vitendo vya uhalifu vinavyofanywa havipaswi kufumbiwa macho na wazazi wana wajibu wa kukemea tabia hiyo. Mwakilasa alitoa rai hiyo alipotoa kauli hiyo mjini...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Diwani Chadema akisaliti chama