Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Mkoani Kagera afariki

Diwani wa Kata ya Keza Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Roman Ntabalo (66) amefariki  baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani Mbweni afariki dunia

DIWANI wa Mbweni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Boniface Mnyachibwe (CCM) amefariki dunia jana. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Naibu Meya wa manispaa hiyo, Songoro Mnyonge, alisema Mnyachibwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani wa CCM afariki dunia

DIWANI wa Ilunde, wilayani Mlele, Filberti Katola (CCM) amefariki duani juzi saa saba mchana. Katola (49) alifikwa na mauti hayo wakati akisafirishwa kurudishwa kijijini kwake Ilunde baada ya kuruhusiwa kutoka...

 

10 years ago

Habarileo

Diwani wa Sululu afariki dunia

DIWANI wa kata ya Sululu katika Halmashauri ya mji wa Masasi, Zuberi Mrope (CCM) amefariki dunia juzi katika hospitali ya Mkomaindo Masasi alikolazwa kutokana na maradhi ya saratani na kuzikwa jana kijijini kwao Sululu.

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA

Marehemu Seleman Kapalu. Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA UHAMIAJI KAGERA AFARIKI DUNIA

  Aliyekuwa Mkuu wa uhamiaji Mkoa Wa Kagera Pendo Buteghe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Rufaa Mkoa wa Kagera alikokuwa akipatiwa   matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa kaimu mkuu wa uhamiaji Kagera Thomas Fush marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini.

Fush amesema kuwa kufuatia msiba huo mwongozo wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa na makao makuu ya uhamiaji umesubiriwa ili kujua taratibu za msiba na maziko

 

11 years ago

Mwananchi

Monsinyori Bamanyisa afariki dunia Kagera

Aliyekuwa Katibu wa Kardinali wa kwanza Mwafrika, Mwadhama Laurean Rugambwa, Monsinyori Justinian Bamanyisa amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Diwani Cup kata ya Mutuka yazinduliwa huko Mkoani Manyara

Diwani wa Kata ya Mutuka, Wilayani Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao (wa pili kushoto) akizungumza  na wachezaji wa timu za soka za Mutuka FC na Chem Chem FC wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Kombe la Diwani huyo.kushoto ni Mwenyekit wa halmashauri ya Mji wa Babati, Mohamed Omary Farah.(picha woinde shizza,Manyara)
Diwani wa Kata ya Mutuka Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao amezindua mashindano ya soka kwenye kata yake itakayoshirikisha timu tano za vijiji vilivyopo...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI AOMBA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KWA WALEMAVU MKOANI SINGIDA



Diwani wa Kata ya Utemini, Baltazar Kimario.


Na Ismail Luhamb,Singida.

DIWANI wa Kata ya Utemini Manispaa ya Singida, Baltazar Kimario, ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo kipya cha ufundi stadi cha kwa ajili ya watu wenyeulemavu mkoani hapa.

Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha baraza la madiwani kilicho keti mwishoni mwa wiki, Kimario, alisema chuo kinachoendelea kutumika kilijengwa miaka ya 70 hivyo miundombinu yake imechakaa inahitaji ukarabati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani