Djockovic bingwa US Open
Nyota duniani kwa mchezo tenesi Novack Djockovic ametwaa taji la Us Open dhidi ya kumshinda mpinzani wake Rodger Federer
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Djockovic atwaa ubingwa wa US Open
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA namba moja kwa ubora duniani katika mchezo wa tenisi, Novak Djockovic, amefanikiwa kuchukua ubingwa wa wazi nchini Marekani baada ya kumchapa mpinzani wake, Rodger Federer, anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani.
Novak amemshinda Federer kwa jumla ya seti 6-4 5-7 6-4 6-4, kutokana na ushindi huu mchezaji huyo jumla atakuwa ametwaa mataji matatu ya Grand Slam mwaka huu.
Mbali na kuchukua mataji matatu mwaka huu, mchezaji huyo hilo litakuwa ni taji lake la 10 la...
11 years ago
GPLWAWRINKA BINGWA AUSTRALIAN OPEN
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Serena Williams bingwa US Open
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Marin Cilic bingwa US Open
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Djokovic bingwa BNP Paribas Open
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
Stan bingwa mpya wa Australia Open
9 years ago
MichuziIDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA