Djokovic na Muruguza washinda China Open
Mcheza tenesi namba moja kwa ubora kwa upande wa wanaume Dunian Novak Djokovic ametwaa taji la michuano ya wazi ya China. Djokovic alimshinda Rafael Nadal anayeshikilia nafasi ya nane kwa ubora wa mchezo huo duniani kwa Seti 6-2 6-2 na kushinda taji lake la sita kwa mwaka huu. Kwa upande wa wanawake Muhispani Garbine Muguruza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Djokovic, Muruguza wababe China Open
Mcheza tenesi namba moja kwa ubora kwa upande wa wanaume Novak Djokovic ametwaa taji la michuano ya wazi ya China
9 years ago
TheCitizen02 Sep
10 years ago
BBCSwahili23 Mar
Djokovic bingwa BNP Paribas Open
Mcheza tenis namba moja duniani kwa upande wa wanaume Novak Djokovic amenyakua ubingwa wa BNP Paribas Open.
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Novat Djokovic atwaa taji
Mserbia Novak Djokovic ameshinda taji la Wimbledon baada ya kumfunga mpinzani wake wa mara zote Roger Federer.
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Djokovic: Lazima nijishindie mashabiki
Djokovic amesema lazima ajishindie uungwaji mkono wa mashabiki baada yake kuzomewa kwenye fainali ya US Open.
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Djokovic ambwaga Jo-Tsonga,Tenis
Mchezaji Tenis kutoka serbia Novac Djokovic amefanikiwa kumshinda Jo-Wilfred Tsonga kwenye fainali za shanghai.
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Djokovic aendelea kung'ara
Novak Djokovic ameendelea kuongeza mataji ya mchezo huo na sasa yamefikia saba.
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Djokovic amzima Federer Wimbledon
Novack Djokovic alimbwaga Roger Federer na kutwaa ubingwa wa Wimbledon.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Federer ,Djokovic wasonga mbele
Nyota wa tenesi Roger Federer ameendeleza ushindi kwa asilimia mia katika mashindano ya wanaume ya tenesi ya dunia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania