Dk. Chameleon kupagawisha Arusha
MSANII mahiri wa Uganda, Dk. Jose Chameleon, anatarajia kufanya shoo ya aina yake mjini hapa Juni 27. Dk. Chameleon amebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zake na anaipenda sana,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Shedy Clever kuwakutanisha Diamond na Jose Chameleon
MTAYARISHAJI muziki wa nyota wa Bongo fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, Sheddy Clever, amesema ana mpango wa kumkutanisha msanii huyo na mkali kutoka Uganda, Joseph Chameleon kwenye wimbo anaouandaa....
10 years ago
Jamtz.Com
10 years ago
Michuzi
COAST MODERN TAARAB KUPAGAWISHA MSATA

11 years ago
Mwananchi13 Sep
Dully Sykes: Kazi yangu kupagawisha
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Kiteshe Sound kupagawisha Kiluvya leo
BENDI mpya ya muziki wa dansi inayokuja kwa kasi ya Kiteshe Sound, leo Ijumaa inatarajia kutoa burudani ya aina yake kwa wakazi wa mji mdogo wa Kiluvya kwa Komba na...
11 years ago
GPL
JOSE CHAMELEONE ATUA BONGO, KUPAGAWISHA MAISHA CLUB
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Madee, Chege kupagawisha mashabiki Coco Beach leo
KAMPUNI ya Vodacom imeandaa tamasha kwa wateja na mashabiki wa muziki katika viwanja vya fukwe za Coco wakati huu ikiwaleta wasanii mahiri kimuziki, Ahmad Ally ‘Madee’ na Juma Said ‘Chege’....
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Bendi ya kijanja Skylight yazidi kupagawisha mashabiki wake Thai Village
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Madiva wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige).
Birthday Girl mdau wa Skylight Band Loveness akihamaki alipokuwa akiimbiwa wimbo maalum na Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita alipoadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
Aaaaah imagine sauti inayotoka hapo…Si mwingine ni Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha fans wa Skylight Band.