Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Kamani apewa tunzo ya utendaji bora Afrika


Na Mwandishi Wetu
NYOTA ya Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani, imeendelea kung’ara kutokana na kuonyesha utendaji bora katika kusimamia sekta ya mifugo nchini.
Kwa hali hiyo, Dk. Kamani, ambaye pia ni mbunge wa Busega, amepewa Tunzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikalini barani Afrika.
Tunzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mkurugenzi mambo ya kale apewa tunzo


Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Donatius Kamamba ametunukiwa tunzo ya kimataifa ya ‘The knight Cross in the Order of Arts and Letters’ na serikali ya Ufaransa.
Tunzo hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa katika kulinda na kuendeleza urithi wa utamaduni nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Maliasili na Utalii, imesema kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMANI ANG'ARA KIMATAIFA, APEWA TUZO

Na Mwandishi Watu
WAZIRI wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani (Pichani), amepewa Tuzo ya Utawala Bora katika kipengele cha Watendakazi Bora Serikali barani Afrika kutokana na wizara yake kuonyesha utendaji kazi wa hali ya juu.
Tuzo hizo ziliandaliwa na Kampuni ya CEO Titans Building Nations ya Afrika Kusini, ambayo imejikita katika kutambua watu na viongozi wanaofanya kazi kwa ufanisi. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hilton jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

TUNZO ZA WAMAMUZIKI BORA 2015 ZANZIBAR

Wasanii wa Smart Zanzibar wakitowa burudani siku ya kukabidhui Tunzo kwa Wasanii Bora Zanzibar iuliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.Mwenyekiti wa Kampuni ya Zanzibar Media Corporation MhE Mohammed Seif Khatib akiwa na Mgeni Rasmin Mhe Dk Mwinyihaji Makame wakifuatilia hafla hoyo ya Utowaji wa Tunzo ya Wanamuziki Bora Zanzibar katika ukumbi wa Salama Bwawani.Mwenyekiti wa ZMC Mhe Mohammed Seif Khatib alizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Tunzo kwa Wanamuziki Bora...

 

9 years ago

Michuzi

TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Rais wa Simba Sport Klabu Evans Aveva (Kulia) akiwa na afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani kajula wakati wa Uzinduzi wa tunzo za Mchezaji bora wa Mwezi .Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabuya Simba imeanzishaTunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Akizungumza jijini Dar es salaam Raiswa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenziwa Simba wanathamini mno mchango wa wachezaji katika kuifanya timu  yetu ifanye vizuri,...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKABIDHI TUNZO KWA WASANII BORA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo ya Msanii ya Mafanikkio katika maisha ya usanii (LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD) Bibi Martina Edward kwa niaba ya Said George Tingatinga kwenye hafla fupi iliyofanyika leo Novemba 13,2014 Ikulu Dar es salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi tunzo ya Msanii bora katika masuala ya kijamii (HUMANITARIAN AWARD) Bw. Patrick Kungalo kwa niaba ya Fr. Canute Mzuanda...

 

10 years ago

GPL

TUNZO KWA WANAMICHEZO BORA WA MWAKA MICHEZO MBALI MBALI ZATOLEWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Waziri wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dr. Finella Mukangara (katikati) Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Abdilah Jihadi Hassan (kulia) wakiwa na Mwandishi wa Habari Salim Said Salim na Mama Fatma Karume wakiwa katika Hafla ya utoaji wa tunzo kwa wanamichezo bora kwa mwaka 2013/2014 katika ukumbi wa  Diamond Jubilee...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKABIDHI TUNZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA MWAKA 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia maonesho mbalimbali kwenye Ghafla ya utoajio Tunzo ya Rais ya mzalishaji bora Mwaka 2014 wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Jumuiya ya wafanyabiashara (Cti). Ghafla hiyo imefanyika jana usiku Februari 14,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wadau mbalimbali kwenye Ghafla ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora

>Rais Jakaya Kikwete ametunikiwa Tuzo ya Utawala Bora Afrika kwa mwaka 2015 kutokana na jitihada zake za kudumisha na kuimarisha utawala bora nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani