DK. KAMANI: Wafugaji watarajie sikio sikivu
DK. Titus Kamani, ni Waziri mpya wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambaye amerithi mikoba ya Dk. Mathayo David aliyeng’olewa kwa shinikizo la Bunge kutokana na kutowajibika ipasavyo wakati wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Wakulima, wafugaji wampongeza Kamani
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amepokewa na ujumbe mzito kutoka kwa Chama cha Wavuvi na Wafugaji waliofika mkoani hapa. Dk. Kamani juzi alifanyiwa sherehe za...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Kamani apania wanaodhulumu wafugaji
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani, amesema atapambana na majambazi na wanaodhulumu wavuvi na wafugaji ili kukomesha tabia hiyo. Alisema hayo juzi alipokuwa akiwahutubia mamia ya...
11 years ago
Habarileo23 Jan
Kamani: Nitaleta mabadiliko kwa wafugaji, wavuvi
WAZIRI wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani amesema amebebeshwa mzigo mzito kuongoza wizara hiyo, kutokana na mtikisiko mkubwa ulioko katika wizara hiyo, unaosababishwa na kukithiri kwa migogoro baina ya wafugaji na wakulima.
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Dk. Kamani: Wataalamu SUA wainueni wavuvi, wafugaji
“KUNA kila sababu kwa sekta ya mifugo na uvuvi kuwa na mchango mkubwa wa kuchangia pato la taifa na kuwainua wananchi wanaojihusisha na shughuli hizo kibiashara.” Hayo ni maneno ya...
10 years ago
MichuziDR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO
Ng’ombe hao ambao wamenunuliwa kwa mkopo uliotolewa na Covenant Bank wana uwezo wa kuzalisha maziwa zaidi ya Lita 20 kwa siku. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Waziri Kamani ametanabaisha kuwa mikopo ya aina hiyo italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya mifugo.
“Kitendo cha...
10 years ago
MichuziWAZIRI DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLALI KIBA MASHABIKI WATARAJIE MAPINDUZI YA MUZIKI
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Serikali si sikivu wala adilifu
UKIANGALIA jinsi Tanzania inavyotawaliwa utagundua kuwa serikali inafanya mambo bila kujali hali ya baadaye ya nchi na kwa kiasi kikubwa wananchi wake. Kwa ufupi, serikali si sikivu wala haina uadilifu....
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Serikali sikivu isikie hili la Kura ya Maoni