Dk. Kitila amruka Zitto
ALIYEKUWA mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Kitila Mkumbo, amemuumbua Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, akisema kuwa aliufahamu mkakati wa usaliti uliokuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Kitila abainisha madhaifu mawili ya Zitto Kabwe Katika Uongozi

Prof anachambua pamoja na mambo mengine , madhaifu ya Zitto Kabwe na kushauri apatiwe mda wa kujirekebisha aweze kuwa kiongozi wa kitaifa, mapungufu hayo kwa maneno yake mwenyewe Proffessor:Pengine udhaifu mkubwa wa Zitto kama kiongozi upo katika maeneo makubwa mawili.Kwanza, ni kushindwa kupima maana na matokeo mapana ya kauli zake kabla hajazitoa. Mara kadhaa Zitto amekuwa akitoa kauli ambazo huacha ukakasi mkubwa katika jamii.
Kwa mfano, akiwa katika kampeni za ubunge mwaka 2010 alitangaza...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Katibu CCK amruka mwenyekiti wake
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Kijamii (CCK), Kassimu Mtalam, amemtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Constantine Akitanda, kuacha kutoa matamshi ya upotoshaji kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kwani hajatumwa...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Chadema yawatimua Dk Kitila, Mwigamba
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe
11 years ago
GPL
DK KITILA, MWIGAMBA WAVULIWA UANACHAMA CHADEMA
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Profesa Kitila auponda mdahalo wa amani
10 years ago
GPL
KITILA MKUMBO ACHOMOA URAIS ACT
10 years ago
IPPmedia28 Mar
New national education policy expensive — Kitila.
IPPmedia
IPPmedia
Tanzania government and education stakeholders in general will face a hard time implementing the newly introduced national education policy which was launched by President Jakaya Kikwete about three weeks ago, a University don has said. Associate ...
11 years ago
Habarileo07 Jul
Mfumo mbovu waathiri elimu - Kitila
MFUMO mbovu wa elimu hapa nchini, umetajwa kusababisha wanafunzi katika shule za umma kusoma kwa mtindo wa kupenya, hali inayosababisha kuwepo kwa idadi kubwa ya watu walioenda shule, lakini idadi ya wanaoelimika kushuka.