Dk. Migiro ataka albino wasajiliwe
NA EVANS MAGEGE
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, ameiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kuwasajili watu wote wenye ulemavu wa ngozi nchini (albino), ili kurahisisha jitihada za serikali za kuwalinda.
Dk. Migiro alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana, wakati akizindua mkakati wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi Wilaya ya Kinondoni kwa kueleza kuwa matukio ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yamelitia doa Taifa katika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Feb
Migiro aagiza usajili wa watoto albino
KATIKA kukabiliana na tatizo la mauaji ya kinyama ya watoto wenye ulemavu nchini, Waziri wa Katiba na Sheria Asha-Rose Migiro, amezitaka mamlaka husika pamoja na wazazi kuungana kwa pamoja na kusajili watoto wote wenye ulemavu huo ili ulinzi wao uwe rahisi kuutekeleza.
9 years ago
Habarileo21 Nov
Magufuli ataka mitazamo tofauti kuhusu albino
RAIS John Magufuli amesema nchi bado inakabiliwa na tatizo la imani za kishirikina dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kufanyiwa vitendo kinyume na haki za binadamu, ikiwemo kuuawa na kueleza kuwa kinachotakiwa ni kubadilisha mitazamo ya watanzania kuhusu albino.
10 years ago
Michuzi26 Sep
SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI
![DSC_0519](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_05191.jpg)
======= ======= =======Mwanamke albino Mariam Stanford aliyepoteza mikono yake yote miwili wakati iliponyofolewa na majahili asiowajua Oktona7,...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_05191.jpg)
SHUHUDA ALBINO ATAKA WAUAJI WANYONGWE HADHARANI
10 years ago
Mwananchi20 Apr
Lowassa ataka Kikwete asaini kunyonga wauaji wa albino
10 years ago
Habarileo06 Feb
Kamati ya Bunge yataka walimu wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini.
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Migiro awavaa maaskofu
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro amewajibu maaskofu akisema Serikali haiko tayari kuona wananchi wanafundishwa jinsi ya kupiga kura kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
Amesema ni muhimu wananchi waachwe waamue kwa utashi wao wenyewe.
Dk. Migiro amesema Serikali inaunga mkono tamko lililotolewa na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kuhusu mustakabali wa Katiba na si makundi ya watu na...