Migiro aagiza usajili wa watoto albino
KATIKA kukabiliana na tatizo la mauaji ya kinyama ya watoto wenye ulemavu nchini, Waziri wa Katiba na Sheria Asha-Rose Migiro, amezitaka mamlaka husika pamoja na wazazi kuungana kwa pamoja na kusajili watoto wote wenye ulemavu huo ili ulinzi wao uwe rahisi kuutekeleza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Dk. Migiro ataka albino wasajiliwe
NA EVANS MAGEGE
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro, ameiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kuwasajili watu wote wenye ulemavu wa ngozi nchini (albino), ili kurahisisha jitihada za serikali za kuwalinda.
Dk. Migiro alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana, wakati akizindua mkakati wa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi Wilaya ya Kinondoni kwa kueleza kuwa matukio ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi yamelitia doa Taifa katika...
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Watoto Albino wapatiwa viungo marekani
10 years ago
Habarileo24 Aug
Watoto wamiminika kituo maalumu cha albino
WATOTO wenye ulemavu wa ngozi katika kituo maalumu cha kulea watoto hao Buhangija Manispaa ya Shinyanga, wamezidi kuongezeka kituoni hapo kutokana na wimbi la mauaji ya albino kuibuka tena. Hadi juzi kituo hicho kilifikishiwa watoto zaidi ya 100.
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Watoto walemavu na albino moshi, walivyosaidiwa na juhudi za kibinafsi
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]
The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...
10 years ago
MichuziMh. Al Shaimar kwa ushirikiano na Bayport wa wazitembelea familia za watoto Albino waliopoteza maisha Jijini Mwanza
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GuMFUomkurY/VOq4RN-S97I/AAAAAAAC0QM/mOWBoB-oON0/s72-c/1.jpg)
MSAMA PROMOTIONS LTD YAMWAGA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA, YALAANI MAUAJI YA ALBINO YANAYOENDELEA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-GuMFUomkurY/VOq4RN-S97I/AAAAAAAC0QM/mOWBoB-oON0/s1600/1.jpg)
Msama amekabidhi misaada hiyo kwa vituo vitano...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani mauaji ya Albino yanayoendelea nchini
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.
Tamasha hilo Litafanyika jijini Dar es salaam Aprili 7...