Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Mwakyembe; Mwanahabari ‘aliyeua’ Wanahabari bungeni

Dk Harrison Mwakyembe, mwandishi wa habari kitaaluma aliyeingia katika historia ya aina yake, kwa kushiriki kuunga mkono hoja ya kuzuia wanahabari wenzake kuingia na kuandika habari ndani ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Dkt.Mwakyembe: SADC Inatambua Mchango wa Wanahabari wa Ukanda Huu wa Afrika

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua Mkutano wa Kamati ya Kutafuta Washindi wa Tuzo za Waandishi wa Habari za SADC uliofanyika kwa njia ya video katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifuatilia nyimbo za taifa kutoka Tanzania na Nchi wanachama wa SADC muda mfupi kabla ya kufugua Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya video ...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe azitaka ofisi za Umma kutoa taarifa kwa wanahabari

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akipokea kipeperushi cha majukumu ya Uongozi wa Arusha Press Club mara baada ya kumaliza kikao na Uongozi huo kuhusu namna bora ya kutekeleza majukumu yao ya kihabari leo Jijini Dodoma.Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Arusha Press Club kuhusu namna bora ya kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria na kanuni za Habari leo Jijini Dodoma.Katibu Mkuu Wizara...

 

10 years ago

Mwananchi

Wapinzani wamsulubu Mwakyembe bungeni

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, jana ilimsulubu Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ikieleza kuwa wizara yake iliingia mkataba wa mradi wa treni za kisasa kutoka Stesheni ya Dar es Salaam hadi Pugu kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) bila kufuata taratibu.

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyeua Uingereza apandishwa kortini

Raia wa Marekani, Sammy Almahri anayedaiwa kumuua mpenzi wake Nadine Aburas nchini Uingereza kisha kumkimbia, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la mauaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pasta 'aliyeua' kortini kuzuia asishikwe

Pasta mmoja nchini Kenya anayekabiliwa na mashtaka ya kusababisha kifo barabarani sasa amekwenda mahakamani kuzuia kushtakiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mama aliyeua Watoto Marekani ahukumiwa

Mwanamke aliyekiri kuua Watoto wake sita ahukumiwa kifungo gerezani

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyeua watu 12 anusurika hukumu ya kifo

Mtu aliyewaua watu 12 katika onyesho la filamu,Marekani,amenusurika hukumu ya kifo na badala yake atatumikia kifungo cha maisha jela

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeua simba Zimbabwe asema hakukosea

Daktari wa meno aliyeua simba maarufu Zimbabwe asema hakukosea

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeua na kuchapisha kwa Facebook kufungwa

Mwanaume mmoja aliyeua mkewe na kuchapisha picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook amepatikana na hatia ya mauaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani