Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein aanza ziara India

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amewasili nchini India kuanza ziara ya kikazi ya siku tisa. Ziara hiyo ina lengo la kukuza uhusiano kati ya Tanzania na India pamoja na kuhimiza ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya India katika maeneo ya kiuchumi, huduma za jamii, biashara na uwekezaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Dk. Shein aendelea na Ziara Nchini India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii. Wanafunzi wa kike kutoka nchi mbali mbali wakiwa na mashine ya Umeme unaotumia Jua...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aelekea Nchini India kwa ziara Rasmi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wake (katikati) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza rasmi ziara

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza kuwasalimu wakati wa safari ya kuelekea Kagera.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye kituo cha mabasi mjini Morogoro maarufu kama Msamvu ambapo aliwaambia...

 

9 years ago

Habarileo

Rais wa Namibia aanza ziara

RAIS wa Namibia, Dk Hage Geingob aliwasili nchini jana kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MKOANI MTWARA

 Vijana wa CCM wilaya ya Masasi wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili Nanganga wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ikiwa siku yake ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Mtwara baada ya kumaliza siku 8 za ziara mkoani Lindi. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Viongozi wa CCM wilaya ya Masasi mara baada ya kuwasili mkoani humo ambapo anatarajiwa kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha kubangua...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana aanza ziara ya Mkoa wa Manyara

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh wilayani Hanang ambapo aliwaambia wananchi wanapaswa kushirikiana na serikali yao katika kuleta maendeleo na kuachana na mambo mengi yanayoendelea kwenye siasa.

unnamed (1)

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katesh kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo ambapo aliwaambia wananchi CCM imejipanga vizuri sana kiasi cha wananchi wengi kuendelea kuiamini ,alisisitiza nchi nzima ofisi za CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani