Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati

Mgombea urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (CCM) akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, jimbo la Kojani, uliyofanyika kwenye uwanja wa mpira wa kijiji cha Kiungoni, Pemba. Rajab Mkasaba – Ikulu Zanzibar Jumamosi, Oktoba […]

The post Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mangula aonya siasa za chuki

Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti aliyemaliza muda wake na kuomba tena kuwania nafasi hiyo, Freeman Mbowe. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).VYAMA vya siasa nchini, vimeaswa kutogeuza tofauti za kiitikadi na ilani za vyama kuwa chanzo cha chuki baina ya vyama na wafuasi wake, na badala yake vinapaswa kuwa na umoja wenye kuwa na maslahi ya wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

UN yaonya vijana na siasa za chuki

UMOJA wa Mataifa (UN) nchini umetahadharisha vijana kuacha kutumiwa katika siasa za chuki na badala yake wawe mabalozi wa amani na wajikite katika kuhubiri amani iliyopo ili iendelee kudumu.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ataka siasa za chuki kukomeshwa

 Dk Titus KamaniWAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amewataka wananchi wilayani Busega kuelewa kuwa, siasa za chuki na uhasama kamwe hazitaweza kuwaletea maendeleo zaidi ya kuwavuruga na kukwamisha shughuli za maendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

Chuki, fitina, ukata, siasa zinavyoua soka Arusha

Ukizungumzia michezo Tanzania hauwezi kuacha kutaja Mkoa wa Arusha ambao uliwahi kupata umaarufu kupitia michezo hasa soka pamoja na riadha.

 

9 years ago

Raia Mwema

Viongozi wa dini waweke akiba ya maneno wakati wa siasa

HUKO nyuma, mwaka 2005, wakati Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Ki

Njonjo Mfaume

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Yatoa Onyokwa Vyama vya Siasa Vitakavyoshirikiana Kinyemela Wakati wa Kampeni

 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Bw. Sisty Nyahoza
Na Jacquiline Mrisho - DodomaVYAMA vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria...

 

9 years ago

Dewji Blog

NEC yakemea vikali ukiukwaji wa maadili unaofanywa na vyama vya siasa wakati wa kampeni za uchaguzi

Untitled

 

Maadili ya Uchaguzi awa Ajili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani  na Mwaka 2015

(chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (sura ya 343)

Sisi Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja tumekubaliana kuwa na uchaguzi huru, wa haki, uwazi, na wa kuaminika. Na kwamba Amani, Ustawi wa Nchi, Usalama wa Raia, Uhuru wa Vyama vya Siasa na Utii wa Sheria, Kanuni na taratibu za uchaguzi ndio msingi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWATAKA VIONGOZI WA SIASA NA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA KAMPENI

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akizungumza na waandishi wa habari wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati akitowa Taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu hivi karibuni kuwataka Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi kufanya kampeni kwa Amani na Utulivu kwa kipindi chote na wakati wa kutolewa kwa matokeo ya Uchaguzi. mkutano huo umefanyika Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar Makamanda wa Jeshi la Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani