Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yaonya vijana na siasa za chuki

UMOJA wa Mataifa (UN) nchini umetahadharisha vijana kuacha kutumiwa katika siasa za chuki na badala yake wawe mabalozi wa amani na wajikite katika kuhubiri amani iliyopo ili iendelee kudumu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mangula aonya siasa za chuki

Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti aliyemaliza muda wake na kuomba tena kuwania nafasi hiyo, Freeman Mbowe. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).VYAMA vya siasa nchini, vimeaswa kutogeuza tofauti za kiitikadi na ilani za vyama kuwa chanzo cha chuki baina ya vyama na wafuasi wake, na badala yake vinapaswa kuwa na umoja wenye kuwa na maslahi ya wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ataka siasa za chuki kukomeshwa

 Dk Titus KamaniWAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amewataka wananchi wilayani Busega kuelewa kuwa, siasa za chuki na uhasama kamwe hazitaweza kuwaletea maendeleo zaidi ya kuwavuruga na kukwamisha shughuli za maendeleo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati

Mgombea urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (CCM) akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, jimbo la Kojani, uliyofanyika kwenye uwanja wa mpira wa kijiji cha Kiungoni, Pemba. Rajab Mkasaba – Ikulu Zanzibar Jumamosi, Oktoba […]

The post Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Chuki, fitina, ukata, siasa zinavyoua soka Arusha

Ukizungumzia michezo Tanzania hauwezi kuacha kutaja Mkoa wa Arusha ambao uliwahi kupata umaarufu kupitia michezo hasa soka pamoja na riadha.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya siasa za kihuni, vurugu

Hawa GhasiaVYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kuendesha siasa za kistaarabu na kutokuwa vyanzo vya vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo kwenye baadhi ya maeneo nchini viongozi wameripotiwa kutekwa wakati wakirejesha fomu huku maeneo mengine watu wakitajwa kuzuia uandikishaji wa wapiga kura.

 

9 years ago

StarTV

NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea.

Katika taarifa kwa njia ya video iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani amesema kuwa vyama vyote vilishiriki katika kuandaa ratiba hiyo na kuwa viliiridhia hivyo hawana budi kuhakikisha...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni walizojiwekea

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi yaonya vijana wanaotishia amani

JESHI la Polisi nchini limewaonya wafuasi wa vyama vya siasa hasa vijana kuacha tabia ya kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kisingizio cha kucheleweshwa matokeo. Onyo hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Polisi anayeshughulikia Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waandishi wa habari.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Vijana hawana uwezo wa ''kuiepuka', WHO yaonya

Ujana haukufanyi uwe na kinga dhidi ya coronavirus, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa limeonya huku idadi ya vifo vya virusi hivyo ikifikia zaidi ya 11,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani