Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuki, fitina, ukata, siasa zinavyoua soka Arusha

Ukizungumzia michezo Tanzania hauwezi kuacha kutaja Mkoa wa Arusha ambao uliwahi kupata umaarufu kupitia michezo hasa soka pamoja na riadha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mangula aonya siasa za chuki

Sehemu ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti aliyemaliza muda wake na kuomba tena kuwania nafasi hiyo, Freeman Mbowe. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).VYAMA vya siasa nchini, vimeaswa kutogeuza tofauti za kiitikadi na ilani za vyama kuwa chanzo cha chuki baina ya vyama na wafuasi wake, na badala yake vinapaswa kuwa na umoja wenye kuwa na maslahi ya wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

UN yaonya vijana na siasa za chuki

UMOJA wa Mataifa (UN) nchini umetahadharisha vijana kuacha kutumiwa katika siasa za chuki na badala yake wawe mabalozi wa amani na wajikite katika kuhubiri amani iliyopo ili iendelee kudumu.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ataka siasa za chuki kukomeshwa

 Dk Titus KamaniWAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, amewataka wananchi wilayani Busega kuelewa kuwa, siasa za chuki na uhasama kamwe hazitaweza kuwaletea maendeleo zaidi ya kuwavuruga na kukwamisha shughuli za maendeleo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati

Mgombea urais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (CCM) akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, jimbo la Kojani, uliyofanyika kwenye uwanja wa mpira wa kijiji cha Kiungoni, Pemba. Rajab Mkasaba – Ikulu Zanzibar Jumamosi, Oktoba […]

The post Dk Shein asisistiza siasa za chuki zimepitwa na wakati appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Marufuku siasa katika soka’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga marufuku wadau wake kuelezea hisia zao za kisiasa na kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo yenye nembo za klabu na wadhamini wa ligi.

 

10 years ago

GPL

MBALI NA SIASA, RAIS NKURUNZIZA NI MKALI WA SOKA

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza akionyesha uwezo wake katika soka. MBALI na siasa, Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia ni mkali katika kusakata soka. Rais Nkurunziza akifanya vitu vyake uwanjani. Katika picha zilizotolewa na Reuters jana zimemuonyesha rais huyo akicheza soka pamoja na marafiki zake mjini Bujumbura licha ya mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake. Rais… ...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : TFF isiingize siasa za uchaguzi kwenye soka

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa litamualika Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa michuano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki inayoanza mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

2014 ULIKUWA MWAKA WA DIAMOND, SOKA ILIBAKIA KATIKA SIASA


MCLBy EDO KUMWEMB (email the author) 
Na amefunga kazi kwa habari iliyotokea majuzi kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaomlipa mshahara Haruna Moshi Boban pale Friends Rangers.MWAKA 2014 ulikuwa mwaka wa Diamond Platinumz. Mwanamuziki aliye bize kujitangaza kimataifa. Mwanamuziki anayeshinda tuzo nyingi anazoshiriki.Na amefunga kazi kwa habari iliyotokea majuzi kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaomlipa mshahara Haruna Moshi Boban pale Friends Rangers.Huku katika soka ulikuwa mwaka wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa soka Arusha wamruka DC Arumeru

SAKATA la vijana wa The Dream Team ya Arumeru mkoani hapa kutelekezwa nchini Brazil, limechukua sura nyingine baada ya Chama cha Soka Mkoa (ARFA), kuruka kimanga kujihusisha na uratibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani