Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


2014 ULIKUWA MWAKA WA DIAMOND, SOKA ILIBAKIA KATIKA SIASA


MCLBy EDO KUMWEMB (email the author) 
Na amefunga kazi kwa habari iliyotokea majuzi kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaomlipa mshahara Haruna Moshi Boban pale Friends Rangers.MWAKA 2014 ulikuwa mwaka wa Diamond Platinumz. Mwanamuziki aliye bize kujitangaza kimataifa. Mwanamuziki anayeshinda tuzo nyingi anazoshiriki.Na amefunga kazi kwa habari iliyotokea majuzi kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaomlipa mshahara Haruna Moshi Boban pale Friends Rangers.Huku katika soka ulikuwa mwaka wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

2014 ulikuwa mwaka wa ‘rangirangi’

Mwaka 2014 unaelekea kwisha. Hiki ni kipindi kizuri cha kuangalia ni yapi yaliyofanyika. Na je yalifanyika kama yalivyopangwa au la? Wakati ukitafakati yaliyotokea, ni vyema pia ukachukua kalamu na karatasi kujipanga kwa ajili ya mwaka ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

2013 : Ulikuwa mwaka wa mapinduzi katika Tehama, kilimo

Sayansi na teknolojia, ni sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Kila kukicha wanasayansi wanavumbua vitu vipya vinavyoifanya dunia kuwa kijiji kimoja kiutendaji, hasa upande wa mawasiliano.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Marufuku siasa katika soka’

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepiga marufuku wadau wake kuelezea hisia zao za kisiasa na kujihusisha katika kampeni za kisiasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mchezo huo yenye nembo za klabu na wadhamini wa ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2014 uzae demokrasia ndani ya vyama vya siasa

Mwaka uliopita wa 2013 umekwisha huku vyama vya siasa vikipambana kulinda nafasi zao. Mambo mengi yametokea lakini kwanza tutazame kwa ufupi yaliyojitokeza.

 

9 years ago

MillardAyo

Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka …

Mtu wangu wa nguvu najua unafahamu kuwa soka ndio mchezo unaopendwa na watu wengi duniani au unaweza kuita ndio mchezo maarufu sana duniani. Najua umezoea kusikia headlines za soka kila kukicha kuhusu mastaa wake kufanya hivi au vile na vitu vingine vingi. Ila kama ambavyo tumekuwa tukiona watu maarufu kutoka tasnia mbalimbali wakichukiwa basi nimekutana […]

The post Hadi kufikia mwaka 2012 hii ndio ilikuwa TOP 5 ya wachezaji watano wanaochukiwa zaidi katika soka … appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ASHINDA TUZO YA BEST AFRICAN ENTERTAINER ..NIYA 14 NDANI YA MWAKA 2014 PEKEE

Promoter  " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya  DIAMOND  PLATNUMZ


Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo  kwa niaba ya Msanii Diamond na kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia afya Njema Mwanamuziki huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2013 ulikuwa wa majonzi kwa wasanii

Mwaka 2013 ukiwa unaelekea ukingoni, umekuwa wa huzuni kwenye tasnia ya filamu kutokana na wasanii wengi kupoteza maisha.

 

11 years ago

GPL

AMANDA: MWAKA 2013 ULIKUWA MAJANGA KWANGU

Tamrina Poshi ‘Amanda’. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mwaka 2013 ulikuwa majanga kwake kwani ulikuwa mgumu sana na mambo yake hayakumwendea vizuri. Akichonga na gazeti hili, Amanda alisema bora mwaka huu upite, kwani ulikuwa mgumu sana kwa upande wake  katika mambo f’lani ambayo hakutaka kuyataja ila anaamini kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka Ofisi ya Makao Makuu ya Magereza pamoja na Mkoa wa Dar es Salaam wakisikiliza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani