Viongozi wa soka Arusha wamruka DC Arumeru
SAKATA la vijana wa The Dream Team ya Arumeru mkoani hapa kutelekezwa nchini Brazil, limechukua sura nyingine baada ya Chama cha Soka Mkoa (ARFA), kuruka kimanga kujihusisha na uratibu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Oct
HIKI NDICHO KILICHOPITISHWA WILAYANI ARUMERU MKOANI ARUSHA
![Photo: Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi. Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/v/t1.0-9/p526x296/10509604_1044036835610734_6518424729366934315_n.png?oh=62fa1b478fcb3e28512ec9e596e36fe7&oe=54CAA36C&__gda__=1422453161_598d5a825b633d8c2280005eaa7ce772)
9 years ago
StarTV28 Dec
Vifaa vya utabiri wa hali ya hewa vyafungwa Arumeru-Arusha
Wananchi wa kata Sita za wilaya ya Arumeru ambazo hukumbwa na mafuriko ya mara kwa mara huenda wakaondona na adha hiyo, kutokana na ufungwaji wa vituo 36 vya ufuatiliaji wa hali ya hewa, vitakavyosaidia kutoa taarifa sahihi na kuwawezesha wakazi hao kukabiliana na majanga mapema zaidi.
Sehemu tuu ya janga la mafururiko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni na kusababisha mmomonyoko wa udongo kwenye baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.
Mratibu wa mradi wa...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-o3Ity6T79Aw/U8dNuPrCQII/AAAAAAAAGEo/R7s-6ahKLBo/s72-c/IMG-20140714-WA0022.jpg)
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ASHIRIKI MDAHALO WA VIONGOZI WADOGO BARANI AFRIKA NCHINI MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-o3Ity6T79Aw/U8dNuPrCQII/AAAAAAAAGEo/R7s-6ahKLBo/s1600/IMG-20140714-WA0022.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2uMQx2l46YA/U8dWCmQ3vOI/AAAAAAAAGGY/k8yETdhw074/s1600/IMG-20140714-WA0019.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jppTP0pqCy4/U8dWL0qKy3I/AAAAAAAAGGg/3MTRvFb6nEs/s1600/IMG-20140714-WA0018.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Mkoa wa Arusha Godluck Ole Medeye atoa misaada jimboni kwake
Mbunge wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha, Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.
Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-tCe3mvVmPxg/VQn3YTB4UiI/AAAAAAAC11g/mdqPVUDr8Po/s72-c/_MG_3013.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI MKOANI ARUSHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-tCe3mvVmPxg/VQn3YTB4UiI/AAAAAAAC11g/mdqPVUDr8Po/s1600/_MG_3013.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HkNx0lB1ZZI/VQn3Xa-CxcI/AAAAAAAC11U/dhZkoJAS0rs/s1600/_MG_2995.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nN1C_HIJ43s/VQn3s3HRMgI/AAAAAAAC12I/6UCqCyIGAa0/s1600/_MG_3015.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-BGIpbGFDolI/VQn3fRz6IWI/AAAAAAAC110/jUXlUCSwK8Q/s1600/_MG_3103.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BDk5XpbFpsA/U81EQvgra1I/AAAAAAAF4aY/QE-KNnX9FDY/s72-c/unnamed+(30).jpg)
Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas
![](http://3.bp.blogspot.com/-BDk5XpbFpsA/U81EQvgra1I/AAAAAAAF4aY/QE-KNnX9FDY/s1600/unnamed+(30).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-A8Bc4uRQnb4/U81EQXv29_I/AAAAAAAF4aU/NL3HiTGCfnI/s1600/unnamed+(31).jpg)
10 years ago
Habarileo10 Dec
CUF sasa wamruka Kafulila urais 2015
SIKU moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kukaririwa na vyombo vya habari nchini akisema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ndiye anayefaa kubeba jahazi la urais kwa vyama vinavyounda umoja uliobatizwa kwa jina la UKAWA, Chama cha Wananchi (CUF),kimelaani hatua hiyo.