CUF sasa wamruka Kafulila urais 2015
SIKU moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kukaririwa na vyombo vya habari nchini akisema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ndiye anayefaa kubeba jahazi la urais kwa vyama vinavyounda umoja uliobatizwa kwa jina la UKAWA, Chama cha Wananchi (CUF),kimelaani hatua hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboLIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA
![](http://www.habari247.co.tz/site/wp-content/uploads/2014/12/lipumba.jpg)
10 years ago
Vijimambo09 Feb
NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE
![.](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC09272.jpg?resize=525%2C690)
![.](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC09248.jpg?resize=524%2C689)
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mwingulu-09Feb2015.jpg)
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Viongozi wa soka Arusha wamruka DC Arumeru
SAKATA la vijana wa The Dream Team ya Arumeru mkoani hapa kutelekezwa nchini Brazil, limechukua sura nyingine baada ya Chama cha Soka Mkoa (ARFA), kuruka kimanga kujihusisha na uratibu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s72-c/Sheik-29Dec2014.jpg)
Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s640/Sheik-29Dec2014.jpg)
Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...
10 years ago
Habarileo16 Jul
CUF ‘washikilia’ urais wa Ukawa
KITENDAWILI cha Chama cha Wananchi (CUF) kuridhia hoja ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais kwa upande wa vyama vya upinzani, kinatarajiwa kuteguliwa Jumamosi ya wiki ijayo, ambapo Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa wa chama hicho litakaa kujadili na kutoa uamuzi.
9 years ago
Habarileo09 Sep
Uzinduzi kampeni za urais CUF leo
CHAMA cha Wananchi (CUF) leo kinatarajiwa kuzindua kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ambapo mgombea urais wa chama hicho kwa upande wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad atawahutubia wafuasi wake na kunadi sera.
10 years ago
Mtanzania25 May
CUF-Maalim Seif asiachiwe urais mwenyewe
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewataka wanachama wake wenye sifa za kugombea nafasi ya urais wa Zanzibar wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho, Omar Ali Shehe, amewaambia waandishi wa habari jana kwamba, wanachama wanatakiwa wasimuachie Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad, kuchukua fomu ya urais peke yake.
“Tunawataka wanachama wenye sifa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea urais, wasimuachie Maalim...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar07 Oct
Video: Mkutano wa kampeni za Urais CUF Amani/Magomeni
The post Video: Mkutano wa kampeni za Urais CUF Amani/Magomeni appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar07 Oct
Vedio-Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais CUF Mkanyageni
The post Vedio-Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais CUF Mkanyageni appeared first on Mzalendo.net.