Dk. Slaa ajichanganya yupi anamlenga
ADAM MKWEPU NA VERONICA ROMWALD
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa amesema hana haja ya kuwazungumzia viongozi wanaomaliza muda wao madarakani, badala yake anamlenga kiongozi atakayekuwa rais wa nchi kwa miaka mitano ijayo.
Dk. Slaa alisema hayo Dar es Salaam jana katika mahojiano maalum na mwandishi mkongwe, Tido Mhando wa televisheni ya Azam.
Akijibu swali kuhusu kwa nini anamzungumzia tu mgombea urais wa Chadema anayewakilisha Ukawa,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Kibadeni ajichanganya ushiriki wa Mapinduzi
10 years ago
Habarileo10 Mar
Mtuhumiwa fedha za Escrow ajichanganya
MKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-M7Vrzjbo9J0/Uuhw0a5XFEI/AAAAAAAALfE/Te_8go2kwX0/s1600/20140128_165947.jpg)
NAPE AJICHANGANYA NA WANANCHI SOKO LA MWANJELWA MBEYA
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Kocha Stars ajichanganya kwa Mkude, Kaseke
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2Xs2Vo5N635vhHXIo4q-qEsr31tzs18KnrJKHjNQJXwDzSoTWL6cuPc2TbfkCH7boaSlB0xCEkWoBC9*LA8BAo/Kikwete2.jpg?width=650)
TUMPIGIE DEBE, TUMCHAGUE KIONGOZI YUPI?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6TuNQOm4NFc/default.jpg)