TUMPIGIE DEBE, TUMCHAGUE KIONGOZI YUPI?
![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT2Xs2Vo5N635vhHXIo4q-qEsr31tzs18KnrJKHjNQJXwDzSoTWL6cuPc2TbfkCH7boaSlB0xCEkWoBC9*LA8BAo/Kikwete2.jpg?width=650)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete. MWAKA umeshakomaa, tofauti na ilivyokuwa wiki chache zilizopita, wakati tulipokuwa tunarukaruka kusherehekea siku ya mwisho ya Mwaka 2014. Leo hii, hakuna tena anayezungumzia upya wa mwaka, isipokuwa, linapokuja suala la siasa, kila mmoja anajadili kuhusu uchaguzi mkuu. Kuna msuguano mkali miongoni mwa wanaotajwa kuwania nafasi hiyo, hasa kutoka chama tawala. Kila mmoja ana wafuasi wake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6TuNQOm4NFc/default.jpg)
9 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6TuNQOm4NFc/default.jpg)
9 years ago
StarTV17 Nov
Ukosefu Soko La Vitunguu Swaumu lasababisha Debe mbili kuthamanishwa kwa debe moja
Ukosefu wa soko la uhakika la Vitunguu Swaumu umesababisha wakulima wa zao hilo kuingia hasara baada ya wanunuzi kuwataka wauze debe mbili kwa malipo ya debe moja.
Wakulima wa Vitunguu Swaumu katika eneo la Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema changamoto hiyo inawakwamisha kutokana na kilimo hicho kutokuwa mkombozi kwao.
Vitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo ilianza kutumika duniani kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, na nchi za awali kabisa kulitumia zao hili zinatajwa kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-cwUg2PGUfYGyIRiTETVxNFhT9Up5ZnBzXRb4KTvHblQbAGGKpXAUF6ciN4ROQMCDaSDJFTYmQqrbVv3Egiayb/PINDA.jpg?width=650)
NANI MSAFI TUMCHAGUE CCM?
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Tumchague mchapakazi Magufuli au huyu mwenye utata wa afya?
NIANZE kwa kuwashukuru mamia ya wasomaji wangu ambao nikiwa huku kijijini kwangu wamekuwa wakiend
Johnson Mbwambo
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Dk. Slaa ajichanganya yupi anamlenga
ADAM MKWEPU NA VERONICA ROMWALD
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa amesema hana haja ya kuwazungumzia viongozi wanaomaliza muda wao madarakani, badala yake anamlenga kiongozi atakayekuwa rais wa nchi kwa miaka mitano ijayo.
Dk. Slaa alisema hayo Dar es Salaam jana katika mahojiano maalum na mwandishi mkongwe, Tido Mhando wa televisheni ya Azam.
Akijibu swali kuhusu kwa nini anamzungumzia tu mgombea urais wa Chadema anayewakilisha Ukawa,...
11 years ago
BBCSwahili08 Jan