Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Slaa: CHADEMA isiposimamia utawala bora inyimeni kura

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa, alisema kama chama chake hakitasimamia misingi ya utawala bora, hakuna sababu ya wananchi kukichagua kuongoza nchi katika uchaguzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA UTAWALA BORA,MUKASA

Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Lilian Mukasa akisoma hotuba katika kikao cha Kamati ya Sita ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani 
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. 
Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo ya...

 

10 years ago

Michuzi

BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA - MUKASA

Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Lilian Mukasa akisoma hotuba katika kikao cha Kamati ya Sita ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo...

 

9 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake katika Serikali ya awamu ya nne. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara baada ya kumaliza Uongozi wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utawala bora bado kikwazo serikalini

UTAWALA bora bado umeonekana kuwa ni tatizo katika wizara na taasisi za serikali wakati wa usimamizi wa rasilimali za nchi kwa wazawa na wawekezaji. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Habarileo

Misingi ya utawala bora yaendelea kuwekwa

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).

 

9 years ago

Habarileo

Tume ya Utawala Bora yaonya wanasiasa

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetahadharisha wanasiasa, kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi katika mikutano yao ya kampeni.

 

9 years ago

Michuzi

JK AAGANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mara baada ya kuwasili katika ofisi yao.
 Baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi  wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza uongozi wake katika serikali ya awamu ya nne. Mwenyekiti wa Tume ya Haki...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AWAAGA TUME YAHAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati alipotembelea makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam na kuzungumza na viongozi na wafanyakazi na kuwaaga rasmi leo Alhamisi Agosti 20, 2015.Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani