Utawala bora bado kikwazo serikalini
UTAWALA bora bado umeonekana kuwa ni tatizo katika wizara na taasisi za serikali wakati wa usimamizi wa rasilimali za nchi kwa wazawa na wawekezaji. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
9 years ago
Habarileo07 Sep
Tume ya Utawala Bora yaonya wanasiasa
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetahadharisha wanasiasa, kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi katika mikutano yao ya kampeni.
11 years ago
Habarileo12 May
Misingi ya utawala bora yaendelea kuwekwa
SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-txya5Lj76Q8/VdYiCUjRN0I/AAAAAAAHyss/wck66rHnOpU/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
JK AAGANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-txya5Lj76Q8/VdYiCUjRN0I/AAAAAAAHyss/wck66rHnOpU/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-OKU4sJLZ20E/VdYiG8fRZNI/AAAAAAAHys8/38nU8n6EibU/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0hHOnGi3NtE/VdYh_SouenI/AAAAAAAHysc/8j9HGJDNM_M/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Kikwete utawala bora unaojivunia ni kiini macho
RAIS Jakaya Kikwete amesema kazi ya urais ni ngumu na anatamani amalize kipindi chake ili awe mtu huru kufanya mambo yake, ikiwamo kilimo, huku akiamini atapatikana Rais bora kuiongoza vizuri...
9 years ago
MichuziTAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-b0x_KiH_gk0/VioRcZl86qI/AAAAAAAIB68/OpGP3Al-cBA/s1600/New%2BPicture.png)
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORAKitalu Na. 8, Mtaa wa LuthuliS.L.P 2643, DAR ES SALAAMSimu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222Faksi: +255 22 2111281Barua Pepe: chragg@chragg.go.tzTovuti: www.chragg.go.tz
Oktoba 23, 2015
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria kwa ajili ya Uchaguzi Huru, wa Haki na Amani
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imekuwa ikifuatilia kwa karibu matamshi...
11 years ago
Habarileo10 Mar
Tanzania yang’ara katika utawala bora
MPANGO wa Afrika wa kujitathmini kiutawala bora (APRM) umebainisha kuwa Tanzania ni moja ya nchi zinazofanya vizuri katika utawala bora.
9 years ago
StarTV07 Oct
Serikali Zanzibar kufuata misingi ya utawala bora
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kufuata misingi na taratibu za kisheria katika utawala bora sambamba na kuleta maendeleo kwa watu wote bila kujali dini, rangi au itikadi ya kisiasa.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dokta Ali Mohamed Shein anasema si vyema wanasiasa kutumia majukwaa kuwatisha watu au kuwataja vibaya baadhi ya viongozi kwa kisingizio cha kampeni kwani Serikali ipo na inaweza kumchukulia hatua mtu yeyote atakaonekana anatishia amani na utulivu uliopo...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RjcLTWgEByk/VdXi79N6giI/AAAAAAAAX9g/s1Kp6FJjQzw/s72-c/D92A6594.jpg)
JK AWAAGA TUME YAHAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
![](http://4.bp.blogspot.com/-RjcLTWgEByk/VdXi79N6giI/AAAAAAAAX9g/s1Kp6FJjQzw/s640/D92A6594.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-K_E5oHXAfOo/VdXjFEUJyZI/AAAAAAAAX9o/2hIy--E6hUA/s640/D92A6977.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10