Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Misingi ya utawala bora yaendelea kuwekwa

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuweka misingi imara ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuhusu hali ya utawala bora nchini, kama yalivyobainishwa kupitia Ripoti ya Hali ya Utawala Bora iliyoandaliwa na Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali Zanzibar kufuata misingi ya utawala bora

 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kufuata misingi na taratibu za kisheria katika utawala bora sambamba na kuleta maendeleo kwa watu wote bila kujali dini, rangi au itikadi ya kisiasa.

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dokta Ali Mohamed Shein anasema si vyema wanasiasa kutumia majukwaa kuwatisha watu au kuwataja vibaya baadhi ya viongozi kwa kisingizio cha kampeni kwani Serikali ipo na inaweza kumchukulia hatua mtu yeyote atakaonekana anatishia amani na utulivu uliopo...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATAJA MISINGI MIKUU MITANO YA UTHIBITISHO WA KUSHAMIRI KWA UTAWALA BORA NCHINI



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail:  ikulumawasiliano@yahoo.com               press@ikulu.go.tz              Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,       THE STATE HOUSE,               P.O. BOX 9120,   DAR ES SALAAM. Tanzania.   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja misingi mikuu mitano ambayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu CCM Ikungi awajia juu viongozi wa Upinzani, awataka kuzingatia misingi ya utawala

DSC04879

.Katibu CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya tuhuma mbalimbali wanazowatuhumu wabunge wa wawili wa CHADEMA mkoani hapo. Moja ya tuhuma ni ile ya kutukana viongozi wa CCM taifa, mkuu wa wilaya na CCM yenyewe. DSC04869 Mkuu mpya wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida ,Gishuli Charles, ameahidi kuzifanyika kazi tuhuma zilizotolewa na CCM dhidi ya wabunge Tundu Lissu na Christowaja Mtinda wote wa CHADEMA. DSC04849 Baadhi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu tawala Singida ataka mikakati kuwekwa kuongeza wakulima wanaotumia mbegu bora

DSC01960

Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye ufunguzi wa semina juu ya kuongeza upatikanaji wa mbegu bora na mbolea kwa wakulima wadogo wadogo kwa kuimarisha masoko ya pembejeo katika mikoa ya Singida na Dodoma.

Na Nathaniel Limu, Singida

KATIBU tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, amewahimiza wadau mbalimbali wanaojishughulisha na sekta ya kilimo,kuweka mikakati ya kuhakikisha zaidi ya aslimia 85 ya wakulima wawe wanatumia mbegu bora,ili kuleta mapinduzi ya kweli ya...

 

9 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake katika Serikali ya awamu ya nne. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara baada ya kumaliza Uongozi wake.

 

9 years ago

Habarileo

Tume ya Utawala Bora yaonya wanasiasa

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetahadharisha wanasiasa, kuacha mara moja kutumia kauli ambazo zinaweza kuwa chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi katika mikutano yao ya kampeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utawala bora bado kikwazo serikalini

UTAWALA bora bado umeonekana kuwa ni tatizo katika wizara na taasisi za serikali wakati wa usimamizi wa rasilimali za nchi kwa wazawa na wawekezaji. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA


TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Kitalu Na. 8, Mtaa wa Luthuli

S.L.P 2643, DAR ES SALAAM

Simu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222

Faksi: +255 22 2111281

Barua Pepe: chragg@chragg.go.tz

Tovuti: www.chragg.go.tz


Oktoba 23, 2015


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI               Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria kwa ajili ya Uchaguzi Huru, wa Haki na Amani


TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)  imekuwa ikifuatilia kwa karibu matamshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani