Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk William Shija afariki dunia Uingereza

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija, ambaye pia aliwahi kushika nyadhifa za uwaziri na ubunge nchini kwa nyakati tofauti, amefariki dunia jijini London jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: Dkt. William Ferdinand Shija afariki dunia

Sekretarieti ya CPA Kanda ya Afrika inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, (CPA) Dkt. William Ferdinand Shija (pichani) kilichotokea katika Hospitali ya Charring Cross, London Uingereza tarehe 4 Oktoba, 2014.


Taarifa ya kifo chake imekuja wakati ambapo Mkutano wa 60 wa CPA unafanyika Yaoundé, Cameroon.


Dkt. William Shija amefanya kazi kwa takriban miaka 8 kama Katibu Mkuu wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola. Amefanya kazi kubwa kwa CPA na ameacha...

 

11 years ago

Michuzi

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo. Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.  Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.Msalaba Sehemu ya waombolezaji. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

11 years ago

BBCSwahili

Lynda Bellingham afariki dunia Uingereza

Mwigizaji maarufu nchini Uingereza Lynda Bellingham afariki dunia

 

11 years ago

Michuzi

DR WILLIAM SHIJA R.I.P

I am saddened by   the untimely  death  of  Dr  William  Shija  , Baba, a  friend and  above  all  a  diplomat.I  had  known  Dr  William  Shija. Since  his  appointment  as  the  secretary  General in  London, by  then I  was   a sitting  journalist  covering   the  British  houses  of  Parliament and  the  West  Minister  Village,  clicked instantly  and  I had the honour to being   the  first  journalist  to  interview  him  since  he was  the  The  first  ethnic  Minority  person  to ...

 

11 years ago

IPPmedia

Dr William Shija


IPPmedia
Dr William Shija
IPPmedia
The Parliament has been urged to formulate specific laws that will help legislators to oversee government budget expenditures and the imposing of punishment against civil servants abusing public funds. This was said on Monday by the Secretary General of ...

 

11 years ago

Vijimambo

MWILI WA DR. WILLIAM SHIJA WAWASILI NCHINI

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Ferdinand Shija umewasili nchini leo ikiwa ni siku saba tangu afikwe na umauti Oktoba 4, 2014. Shija aliyezaliwa Aprili 28, 1947 na kufariki Oktoba 4, 2014.Imeandikwa naFather Kidevu.

Shija amewahi kuwa mbunge wa CCM wa jimbo la Sengerema toka mwaka 1990 hadi 2005. Alichaguliwa katika kikao cha 52 cha bunge hilo linalowakutanisha wawakilishi 700 kutoka mabunge ya nchi zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.

Miongoni...

 

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya Mazishi Marehemu Dkt. William Shija

Marehemu Dkt. William Shija.

 

11 years ago

Michuzi

IBADA MAALUM YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU DR. WILLIAM SHIJA

Mke wa Marehemu, Mama Getrude Shija (kushoto), akifuatana na Mama Balozi (Joyce Kallaghe), ndugu, jamaa na marafiki, wakiingia kanisani kushiriki Ibada maalum ya kuuaga Mwili wa Marehemu Dk. William Shija.
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Commonwealth Parliamentary Association (CPA), Dr. William Shija, aliyefariki dunia Jumamosi ya Tarehe 4 Oktoba 2014, umeagwa rasmi jana katika Ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Vincent de Paulo, Osterley, London.
Ibada hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani