DK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, baada ya kukaa kimya kingi sana tangu mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo chini ya mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa kuhamia chama hicho. Leo ameibuka na kusema ya moyoni kuwa amejivua uanachama rasmi wa chama cha Chadema pamoja na Ukatibu Mkuuu wa Chama cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gzMFPFoONNw/default.jpg)
9 years ago
MichuziDK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Dk. Slaa aibuka, atangaza kuachana na siasa za vyama
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/kOEtSv8opUw/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3O5-lzqgcZJlE4MAsSnrHZoUwi0zJ1231hB6YJv5Hfix5GpsSIY8JBNQJB61ZOSFNrg*PrVjRdxNZ8yX2C9okRZ/dk.slaa.jpg)
DK. SLAA: SIKUWA LIKIZO, NILIAMUA KUACHANA NA SIASA
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/3HVS0ExNGqM/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Meya Jerry Slaa wa Ilala atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Ukonga
![](http://2.bp.blogspot.com/-Wfm8dO1_50Q/VZo8XgpAZ-I/AAAAAAAAe3Q/QPZnlFKfAHM/s640/p11.jpg)
Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM,Alhaji Adam Kimbisa.
![](http://1.bp.blogspot.com/-MiegnJV85NU/VZo8YxKfvHI/AAAAAAAAe3Y/1ald8MaJYj4/s640/s1.jpg)
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa...
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Wananchi waaswa kuachana na Matumizi ya Vipimo visivyo Rasmi
Kaimu Meneja Sehemu ya Habari toka Wakala wa Vipimo Bi. Irene John akiwaeleza jambo waandishi wa Habari (hawapo pichani) na kuwatahadharisha wananchi kuhusu matumizi ya vipimo batili unaofanywa kwa kusutumia visado na ndoo za Plastiki. Wanaofuata Kushoto kwake ni Afisa Habari Idara ya Habari (MAELEZO) Frank Mvungi,Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi Bw. Peter Masinga na Mwisho ni Meneja wa Upimaji Bw. Richard Kadeghe.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Toka Wakala wa Vipimo Bw. Moses Mbunda akiwaeleza...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Sep
Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa
Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa Written by Prof.Mbele http://hapakwetu.blogspot.ca/2015/09/hotuba-ya-dr-wilbroad-slaa-kuacha-siasa.html Kuhusu hotuba ya Dr. Slaa kwa waandishi wa habari akitangaza kuondokana na siasa, mengi muhimu yamesemwa na wenye upeo na tafakari nzito kunizidi. Ila nami […]
The post Hotuba ya Dr. Wilbroad Slaa Kuacha Siasa appeared first on Mzalendo.net.