Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, baada ya kukaa kimya kingi sana tangu mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia  Chama cha Demokrasia na Maendeleo  chini ya mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa kuhamia chama hicho. Leo ameibuka na kusema  ya moyoni kuwa amejivua uanachama  rasmi wa chama cha Chadema pamoja na Ukatibu Mkuuu wa Chama cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, baada ya kukaa kimya kingi sana tangu mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia  Chama cha Demokrasia na Maendeleo  chini ya mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa kuhamia chama hicho. Leo ameibuka na kusema  ya moyoni kuwa amejivua uanachama  rasmi wa chama cha Chadema pamoja na Ukatibu Mkuuu wa Chama cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk. Slaa aibuka, atangaza kuachana na siasa za vyama

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dk. Wilbroad Slaa amesema leo kuwa amejiondoa kwenye siasa na hatajiunga na chama kingine chochote cha siasa ila ataendelea kuwatumikia Watanzania kwa namna yoyote.

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

FINCA MICROFINANCE BANK YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Hapa uznduzi rasmi wa Finca Microfinance Bank ukifanyika leo jijini Dar es SalaamOfisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa benki hiyo. Kushoto ni Zulpha Semboja na Kulia ni Rahmathi Damac warembo wa benki hiyo waliokuwa wakitoa huduma wakati wa uzinduzi huo. Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kutoka kulia ni Meneja Rasilimali Watu (HRM), Mary Magoire, Ofisa...

 

10 years ago

Michuzi

JK AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wananchi wakifurahia hotuba ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es...

 

9 years ago

GPL

DK. SLAA: SIKUWA LIKIZO, NILIAMUA KUACHANA NA SIASA

DK. Wilbroad Slaa. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa amesema hakuwa likizo ila aliamua kuachana na siasa baada ya kutokubaliana na maamuzi ya chama chake yaliyotokea Julai 28,2015 saa 3 usiku. Wanahabari wa Kampuni ya Global Publishers wakifuatilia hotuba ya DK. Slaa leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar. -Asema lazima ajitokeze kusema na kuweka ukweli hadharani -Asema sina tabia ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani