Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. MAGUFULI AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUGEUKIA TIBA ASILI KUKABILIANA NA MAGONJWA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wananchi kutodharau matumizi ya dawa za kienyeji hasa katika kukabiliana na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa mlipuko wa Corona (Covid-19.)
Akizungumza leo jijini Dodoma wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya lami katika mji wa kiserikali Mtumba, Magufuli amesema kuwa  wengi wamekuwa wakidharau matumizi ya dawa za kienyeji kwa kile kinachoelezwa kuwa zimepitwa na wakati huku zikiwa zimeonesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WITO WATOLEWA WANANCHI KUENDELEA NA TIBA ASILI KUKABILIANA NA CORONA


 Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi (kushoto) akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma kupata huduma ambapo amezungumza nao kuendelae kujilinda na ugonjwa wa corona kwa mbinu zinatotolewa na Wizara ya Afya ikiwemo tiba asili ya kujifukiza. Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akizunguma na watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa alipotembelea hospitlai hiyo, Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI/MBADALA FUATENI SHERIA-DKT. CHAULA










Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea na waandishi wa habari


Wanafunzi wa sekondari walioshiriki kongamano la wajasiriamali na upimaji wa afya
Watoto wakimsikiliza Katibu Mkuu(hayupo pichani)

……………………………………..

Na.Catherine Sungura, Chato

Waganja wa Tiba asili na tiba mbadala wote nchini, wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata Sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa na Serikali .

Hayo yamesemwa juzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu afya...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SABA WA KIMATAFA KUHUSU NAMNA YA KUZUWIA MAGONJWA YA ASILI NA ULEMAVU KATIKA NCH ZINAZOLEA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) uliofanyika leo Septe 21,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Washiriki wa mkutano wa saba wa kimataifa kuhusu namna ya kuzuwia Magonjwa Asili na Ulemavu katika Nchi zinazoendelea (ICBD) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI

Kituo cha uchunguzi na mafunzo ya magonjwa ya saratani, matumbo na ini Ukanda wa Afrika Mashariki kimefunguliwa rasmi mwishoni mwa juma. Sherehe hizo zilifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwishoni mwa juma ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Fuatilia katika picha matukio wakati wa ufunguzi. Description: DSC_1474 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipongezana na Profesa Meinrad Classen wa...

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

11 years ago

Mwananchi

TIBA MBADALA: Kunywa maji ya moto ni tiba ya magonjwa mengi

>Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyikaa katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe, lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kuziandaa bila kutumia gharama kubwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua kituo cha tiba, uchunguzi na mafunzo ya magonjwa na saratani za matumbo na Ini cha hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa Hafla fupi ya ufunguzi huo iliyofanyika Hospitalini hapo jijini Dar es Salaam, jana  Mei 30, 2014. (Picha na OMR).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) Mwakilishi wa Taasisi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

TEWUTA wampongeza Rais Dk. Magufuli, wamuomba kugeukia mashirika ya mawasiliano ya Serikalini

tewuta

Katibu mkuu wa TEWUTA, Junus Ndaro (katikati) alkizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa TEWUTA, Pius Makuke, kushoto ni afisa kutoka chama hicho. (Picha na Rabi Hume)

Na Rabi Hume

[DAR ES SALAAM] Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA), kimemtaka rais wa Tanzania, Dr. John Magufuli kuyasaidia mashirika ya mawasiliano yaliyo chini ya seikali kutokana na mashirika hayo kuwa na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani