Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WITO WATOLEWA WANANCHI KUENDELEA NA TIBA ASILI KUKABILIANA NA CORONA


 Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi (kushoto) akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma kupata huduma ambapo amezungumza nao kuendelae kujilinda na ugonjwa wa corona kwa mbinu zinatotolewa na Wizara ya Afya ikiwemo tiba asili ya kujifukiza. Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akizunguma na watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa alipotembelea hospitlai hiyo, Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUGEUKIA TIBA ASILI KUKABILIANA NA MAGONJWA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS Dkt. John Magufuli amewataka wananchi kutodharau matumizi ya dawa za kienyeji hasa katika kukabiliana na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa mlipuko wa Corona (Covid-19.)
Akizungumza leo jijini Dodoma wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya lami katika mji wa kiserikali Mtumba, Magufuli amesema kuwa  wengi wamekuwa wakidharau matumizi ya dawa za kienyeji kwa kile kinachoelezwa kuwa zimepitwa na wakati huku zikiwa zimeonesha...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI WAPATA MAFUNZO KUJIKINGA NA CORONA

Mratibu wa Tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akiongea jana na waganga wa Tiba asili na tiba mbadala wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutambua dalili na kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati wote wa shughuli zao kama moja ya makundi maalum yanayoaminika katika jamii.


Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Mohamed Nandule akiongea na waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilayani...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo awataka Waganga wa tiba asili na machifu wa Mkoa kuwa mfano katika mapambano dhidi ya Corona


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maagizo kwa Machifu na Waganga wa Tiba asili wa mkoa wa Rukwa (hawapo pichani) katika kikao kifupi alichokutana nao ili kuwaelimisha juu ya ugonjwa wa CoronaMkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (aliyekaa katikati) pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Makali (Kushoto) na kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Emanuel Mtika katika Picha ya pamoja na baadhi ya Waganga wa Tiba Asili wa mkoa wa Rukwa. Mkuu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wito watolewa washia wajihami Iraq

Kiongozi wa washia ametoa wito kwa wananchi kujihami tayari kwa vita dhidi ya wapiganaji wa kisuni wanaoendelea kuteka miji zaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wito watolewa Congo ichunguze makaburi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imetakiwa kuchunguza eneo la makaburi linalodaiwa kuzikwa mamia ya watu

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wito watolewa silaha zisiuzwe Sudan Kusini

Mashirika ya kutoa misaada yametoa wito wa kutaka kusitishwa kuuzwa kwa silaha kwa Sudan Kusini ambapo mapigano yamechacha

 

10 years ago

Dewji Blog

Wito watolewa wazazi kuwajengea maadili mema watoto

DSC01148

Diwani wa kata ya Issuna  wilaya ya Ikungi,Stephano Misai,akizungumza kwenye mahafali ya kwanza ya darasa la saba  shule ya msingi Unyahati iliyopo kijiji cha Muungano .Mgeni rasmi huyo amezitaka shule za msingi na sekondari zenye bahati ya kuwa karibu na huduma ya umeme, kuweka nishati hiyo kwa ajili ya wanafunzi kujifunza kompyuta. Wa kwanza kushoto (aliyekaa) ni Chiku Alli raia wa Norway aliyekusanya fedha kutoka kwa raia wa Norway na kugharamia ujenzi wa shule ya Unyahati. Kulia ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani