Wito watolewa silaha zisiuzwe Sudan Kusini
Mashirika ya kutoa misaada yametoa wito wa kutaka kusitishwa kuuzwa kwa silaha kwa Sudan Kusini ambapo mapigano yamechacha
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
UN: Mahasimu Sudan Kusini wanahodhi silaha
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
China yaipa silaha Sudan Kusini
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Wito watolewa washia wajihami Iraq
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Wito watolewa Congo ichunguze makaburi
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Wito watolewa wazazi kuwajengea maadili mema watoto
Diwani wa kata ya Issuna wilaya ya Ikungi,Stephano Misai,akizungumza kwenye mahafali ya kwanza ya darasa la saba shule ya msingi Unyahati iliyopo kijiji cha Muungano .Mgeni rasmi huyo amezitaka shule za msingi na sekondari zenye bahati ya kuwa karibu na huduma ya umeme, kuweka nishati hiyo kwa ajili ya wanafunzi kujifunza kompyuta. Wa kwanza kushoto (aliyekaa) ni Chiku Alli raia wa Norway aliyekusanya fedha kutoka kwa raia wa Norway na kugharamia ujenzi wa shule ya Unyahati. Kulia ni...
5 years ago
MichuziWITO WATOLEWA WANANCHI KUENDELEA NA TIBA ASILI KUKABILIANA NA CORONA
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi (kushoto) akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma kupata huduma ambapo amezungumza nao kuendelae kujilinda na ugonjwa wa corona kwa mbinu zinatotolewa na Wizara ya Afya ikiwemo tiba asili ya kujifukiza. Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akizunguma na watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa alipotembelea hospitlai hiyo, Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce...
10 years ago
MichuziWITO WATOLEWA KWA JAMII KUTOPUUZA TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI
Wito huo umetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, wakati akifungua warsha ya siku mbili kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hali hewa nchini (TMA).
Bendera ametoa wito huo siku mbili kabla ya TMA kutoa utabili wake wa hali ya hewa wa msimu wa Oktoba mpaka Desemba mwaka huu. Bendera alisema kuwa TMA imekuwa...
9 years ago
MichuziWITO WATOLEWA NA MISS TANZANIA 2013/2014 KWA WAKINA MAMA KUJITOKEZA KUFANYA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KIZAZI
10 years ago
MichuziWITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)
WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...