Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT MAGUFULI: UKINUNUA MADARAKA IPO SIKU UTAWAUZA ULIOWANUNUA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbalizi  mkoa mpya wa  Songwe,katika mkutano wake wa kampeni uliohudhuriwa maelfu ya wananchi, Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Mbalizi kummpa kura za ndiyo ili aweze kuongoza watanzania na kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya watanzania wa hali ya chini.
Amesema ametumikia nchi hii kwa miaka 20 serikalini akiwa Waziri na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Tazama matukio yote ya Magufuli na kusema ukinunua madaraka ipo siku mtauzwa.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbalizi  mkoa mpya wa  Songwe,katika mkutano wake wa kampeni uliohudhuriwa maelfu ya wananchi, Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Mbalizi kummpa kura za ndiyo ili aweze kuongoza watanzania na kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya watanzania wa hali ya chini.   Amesema ametumikia nchi hii kwa miaka 20 serikalini akiwa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha...

 

5 years ago

Michuzi

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. NA IKULU

 

9 years ago

Michuzi

Airtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania




Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Madaraka yasiwagawe Watanzania

g1 (1)Na Bakari Kimwanga, Tanga

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameonya na kusema nafasi za madaraka zisiwagawe Watanzania.

Amesema kila mtu anawajibu wa kulitumikia taifa na watu wake bila kubaguliwa na wenye nafasi za uongozi.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza kwenye mikutano ya kampeni za kuomba kuchaguliwa katika wilaya za Muheza, na Pangani mkoani Tanga.

Alisema nchi inahitaji viongozi ambao hawatawagawa...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA IPO TAYARI KUPOKEA WATALII - DKT. KIGWANGALLA


Na WAMJW- Kilimanjaro

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameweka wazi kuwa, Tanzania ipo tayari kupokea wageni kutoka sehemu yoyote Dunia kwa ajili ya utalii, kufuatia kuimarisha mifumo ya tahadhari zote za kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.

Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo katika ziara iliyomjumuisha Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ikiwa na lengo la kukagua utayari wa nchi katika kudhibiti ugonjwa wa Corona katika uwanja wa ndege wa KIA na...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Ipo siku nitaingia Ikulu

8qsPaAk9NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

ALIYEKUWA mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono  Ukawa, Edward Lowassa amesema ipo siku ataingia katika Ikulu  kwa kupigiwa kura na Watanzania.

Lowassa alitoa kauli   mjini hapa jana katika Viwanja vya Shule ya Msingi Sinoni wakati akimuombea kura mgombea ubunge wa   Arusha Mjini, Godbless Lema.

Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu matokeo ya urais yalipotangazwa na kumpa ushindi Dk. John Magufuli, Lowassa alisema anaamini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani