Magufuli: Madaraka yasiwagawe Watanzania
Na Bakari Kimwanga, Tanga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameonya na kusema nafasi za madaraka zisiwagawe Watanzania.
Amesema kila mtu anawajibu wa kulitumikia taifa na watu wake bila kubaguliwa na wenye nafasi za uongozi.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza kwenye mikutano ya kampeni za kuomba kuchaguliwa katika wilaya za Muheza, na Pangani mkoani Tanga.
Alisema nchi inahitaji viongozi ambao hawatawagawa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Kitwanga akunwa na mpango kampuni ya ACACIA wa kurithisha madaraka kwa watanzania
Naibu waziri wa nishati na madini, Charles Kitwanga, (wakwanza kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji madini, Acacia, Brad Gordon, (wapili kulia), makamu wa rais wa kampuni hiyo anayeshughulikia masuala ya kampuni, Deo Mwanyika, (katikati), na viongozi wengine wa mgodi huo na wa wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wakitembelea eneo la uchimbaji madini la wazi mgodi wa Buzwagi, mwishoni mwa wiki. Naibu waziri Kitwanga, ameisifu kampuni ya Acacia, inayomiliki migodi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-80qx3DiKpaY/Vd_OZnIDHuI/AAAAAAAH0jQ/4NWl0EwPz4Y/s72-c/_MG_7228.jpg)
DKT MAGUFULI: UKINUNUA MADARAKA IPO SIKU UTAWAUZA ULIOWANUNUA
![](http://3.bp.blogspot.com/-80qx3DiKpaY/Vd_OZnIDHuI/AAAAAAAH0jQ/4NWl0EwPz4Y/s1600/_MG_7228.jpg)
Amesema ametumikia nchi hii kwa miaka 20 serikalini akiwa Waziri na...
9 years ago
StarTV28 Aug
Tazama matukio yote ya Magufuli na kusema ukinunua madaraka ipo siku mtauzwa.
![](http://3.bp.blogspot.com/-80qx3DiKpaY/Vd_OZnIDHuI/AAAAAAAH0jQ/4NWl0EwPz4Y/s1600/_MG_7228.jpg)
9 years ago
Habarileo09 Nov
Magufuli: Watanzania Niombeeni
RAIS Dk John Magufuli amewataka Watanzania wa dini zote na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali, kuendelea kumuombea ili atekeleze ahadi alizozitoa pamoja na kuinua maisha ya Watanzania.
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Magufuli: Watanzania tusidekezwe na utafiti
*Asema hawezi kuwa rais bila kupigiwa kura
*Aanza kurusha makombora Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Kahama
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutodekezwa na matokeo ya utafiti unaoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Busanda, Mbogwe ya mkoani Geita na majimbo ya Ushetu na Kahama Mjini ya mkoani Shinyanga.
Alisema katu...
9 years ago
Habarileo20 Sep
Makamba: Watanzania mchagueni Magufuli
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amewaasa Watanzania kutofanya makosa kwa kumchagua Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuwa Rais wa Tanzania na badala yake wamchague Dk John Magufuli ambaye ni kiongozi makini anayejali shida za wananchi.
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Magufuli: Watanzania wamekata tamaa
*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija
Na Bakari Kimwanga, Iringa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli
MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.
Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...
9 years ago
StarTV21 Sep
Magufuli awataka watanzania kudumisha amani
Katika harakati za kufanya kampeni katika mikoa tofauti nchini Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Pombe Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Chato ambalo amelitumikia kwa miaka ishirini kama Mbunge.
Akihutubia wananchi waliojitokeza kumlaki na kusikiliza vipaumbele vilivyoainishwa katika ilani ya Chama cha Mapinduzi, Dokta Magufuli amezungumzia maendeleo yaliyofikiwa na jimbo hilo chini ya uwakilishi wake kuwa ni kielelezo cha utendaji na ufanisi alionao katika...