Magufuli: Watanzania Niombeeni
RAIS Dk John Magufuli amewataka Watanzania wa dini zote na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali, kuendelea kumuombea ili atekeleze ahadi alizozitoa pamoja na kuinua maisha ya Watanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Jonas Mkude: Niombeeni
KIUNGO wa timu ya Simba, Jonas Mkude amewataka Wanasimba, kumuombea aweze kupona haraka, mkono wa kushoto alioumia katika mchezo wa juzi dhidi ya Yanga, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, jijini...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Muhongo: Niombeeni niiinue Tanzania
MMOJA wa makada wa CCM waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania urais wa chama hicho, Profesa Sospeter Muhongo amesema pamoja na utiriri wa wagombea kutoka chama hicho tawala, mwisho wa siku nchi inapaswa kuongozwa na mtu mwenye kuielewa vyema Tanzania na ambaye atakuwa tayari kuivusha nchi kiuchumi.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Afya yangu kwa sasa inaimarika, niombeeni-Pengo
10 years ago
Bongo511 Nov
‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo
9 years ago
Habarileo20 Sep
Makamba: Watanzania mchagueni Magufuli
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amewaasa Watanzania kutofanya makosa kwa kumchagua Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuwa Rais wa Tanzania na badala yake wamchague Dk John Magufuli ambaye ni kiongozi makini anayejali shida za wananchi.
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Magufuli: Madaraka yasiwagawe Watanzania
Na Bakari Kimwanga, Tanga
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameonya na kusema nafasi za madaraka zisiwagawe Watanzania.
Amesema kila mtu anawajibu wa kulitumikia taifa na watu wake bila kubaguliwa na wenye nafasi za uongozi.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti, alipokuwa akizungumza kwenye mikutano ya kampeni za kuomba kuchaguliwa katika wilaya za Muheza, na Pangani mkoani Tanga.
Alisema nchi inahitaji viongozi ambao hawatawagawa...
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Magufuli: Watanzania tusidekezwe na utafiti
*Asema hawezi kuwa rais bila kupigiwa kura
*Aanza kurusha makombora Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Kahama
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutodekezwa na matokeo ya utafiti unaoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Busanda, Mbogwe ya mkoani Geita na majimbo ya Ushetu na Kahama Mjini ya mkoani Shinyanga.
Alisema katu...
9 years ago
Habarileo29 Dec
Watanzania wahimizwa kumuombea Magufuli
MFANYABIASHARA na kada wa CCM wilayani hapa, Peter Zakaria amewaomba Watanzania kuzidi kumwombea na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, huku akiwataka wafanyabiashara kuonesha uzalendo kwa kulipa kodi kwa wakati.
Zakaria ambaye katika vyombo vyake vya usafirishaji amebandika mabango yenye kaulimbiu ya “Hapa Kazi Tu” alisema nia ya Rais Magufuli ni njema kuwaletea wananchi maendeleo na kurejesha imani ya Watanzania kwa CCM kwamba bado chama hicho...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Magufuli: Watanzania wamekata tamaa
*Asema haiwezekani wachache wale kuku kwa mrija
Na Bakari Kimwanga, Iringa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amejipanga kulipa deni kwa Watanzania kwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Amesema pamoja na hali hiyo, anatambua namna wananchi walivyokata tamaa ikiwamo kushindwa kubadili maisha yao, kutokana na ubinafsi wa watu wachache ambao wameamua kujimilikisha rasilimali za nchi.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana,...