Magufuli: Watanzania tusidekezwe na utafiti
*Asema hawezi kuwa rais bila kupigiwa kura
*Aanza kurusha makombora Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Kahama
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutodekezwa na matokeo ya utafiti unaoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Busanda, Mbogwe ya mkoani Geita na majimbo ya Ushetu na Kahama Mjini ya mkoani Shinyanga.
Alisema katu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Oct
Utafiti: Watanzania wanapenda kubaki EAC
WANANCHI wanane kati ya 10 wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha, wananchi tisa kati ya 10 wanakubali uwepo ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Utafiti: Watanzania wana wasiwasi kuhusu mashambulizi
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Utafiti: Watanzania wengi wanatunza fedha nyumbani
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Utafiti: Watanzania hawataki Serikali kuingilia vyombo vya habari
Elias Msuya, Dar es Salaam
ASILIMIA 65 ya Watanzania wanapenda kuona vyombo vya habari vikichunguza ufisadi unaofanyika serikalini.
Hayo yamo katika ripoti ya Afrobarometer ya mwaka 2014, inayotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo na Kuondoa Umaskini (Repoa).
Ripoti hiyo, imekuja wiki chache baada ya Bunge la Tanzania kupitisha miswada ya Makosa ya Mtandao na Sheria ya Takwimu katika habari za mwaka 2015, zinazokosolewa na wadau, huku wakimshinikiza Rais Jakaya Kikwete asitie saini ili...
9 years ago
Vijimambo25 Sep
Utafiti Ukawa 76% mwingine Dk. Magufuli 62%.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/James-25Sept2015.png)
Hata hivyo, vita kuhusiana na ripoti za utafiti baina ya CCM na Ukawa imechukua sura mpya baada ya utafiti mwingine kutangazwa kupitia taarifa zilizosambazwa...
9 years ago
Habarileo25 Sep
Magufuli apaa utafiti Synovate
UTAFITI mpya wa kampuni ya Ipsos (Synovate) unaonesha kwamba mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atashinda kwa asilimia 62 dhidi ya asilimia 31 za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa, endapo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ungefanyika leo.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dk Magufuli aongoza utafiti Ipsos
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...