Dk Magufuli aongoza utafiti Ipsos
Kampuni ya Ipsos jana ilitangaza matokeo ya utafiti wake wa hali ya kisiasa unaoonyesha kuwa mgombea wa CCM, Dk John Magufuli angeshinda kwa asilimia 62 kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika Septemba, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akipata asilimia 31.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA FEDHA -SAADA MKUYA AONGOZA UZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARAâ€
9 years ago
Habarileo25 Sep
Magufuli apaa utafiti Synovate
UTAFITI mpya wa kampuni ya Ipsos (Synovate) unaonesha kwamba mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atashinda kwa asilimia 62 dhidi ya asilimia 31 za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa, endapo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ungefanyika leo.
9 years ago
Vijimambo25 Sep
Utafiti Ukawa 76% mwingine Dk. Magufuli 62%.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/James-25Sept2015.png)
Hata hivyo, vita kuhusiana na ripoti za utafiti baina ya CCM na Ukawa imechukua sura mpya baada ya utafiti mwingine kutangazwa kupitia taarifa zilizosambazwa...
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Magufuli: Watanzania tusidekezwe na utafiti
*Asema hawezi kuwa rais bila kupigiwa kura
*Aanza kurusha makombora Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Kahama
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutodekezwa na matokeo ya utafiti unaoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Busanda, Mbogwe ya mkoani Geita na majimbo ya Ushetu na Kahama Mjini ya mkoani Shinyanga.
Alisema katu...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Dk. Magufuli aongoza
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo 26, yakionyesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anaongoza akifuatiwa na Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
Matokeo hayo yalitangazwa jijini Dar es Salaam jana kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva kutoka kituo kikuu cha kutangazia matokeo kilichopo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Magufuli aongoza majimbo 88
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikitarajia kutangaza mshindi wa kiti cha urais kesho, mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza katika majimbo mengi, ambayo Tume imeyatangaza matokeo yake kuanzia juzi.
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Magufuli aongoza matokeo ya awal