Magufuli aongoza matokeo ya awal
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Oct
DK Magufuli aongoza majimbo matatu kwenye matokeo ya awali
9 years ago
Vijimambo27 Oct
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
John Pombe Magufuli aongoza majimbo 3 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais 2015 katika majimbo matatu kwa mujibu wa taarifa ya NEC ambapo majimbo hayo ni Makunduchi, Paje ya visiwani Zanzibar pamoja na jimbo la Lulindi -Mtwara.
Ifuatayo ni sauti ya Jaji Mstaafu Damian Lubuva katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo15 Feb
Msichana aongoza matokeo kidato 4
MATOKEO ya Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Sekondari uliofanyika mwaka jana, yametangazwa huku msichana wa shule ya Baobao iliyoko mkoani Pwani akiongoza kwa ufaulu.
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Dk. Magufuli aongoza
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo 26, yakionyesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anaongoza akifuatiwa na Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.
Matokeo hayo yalitangazwa jijini Dar es Salaam jana kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva kutoka kituo kikuu cha kutangazia matokeo kilichopo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Magufuli aongoza majimbo 88
WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikitarajia kutangaza mshindi wa kiti cha urais kesho, mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza katika majimbo mengi, ambayo Tume imeyatangaza matokeo yake kuanzia juzi.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dk Magufuli aongoza utafiti Ipsos
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi