Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Magufuli aongoza

johnNA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo 26, yakionyesha mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anaongoza akifuatiwa na Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.

Matokeo hayo yalitangazwa jijini Dar es Salaam jana kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva kutoka kituo kikuu cha kutangazia matokeo kilichopo katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Magufuli aongoza majimbo 88

WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikitarajia kutangaza mshindi wa kiti cha urais kesho, mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza katika majimbo mengi, ambayo Tume imeyatangaza matokeo yake kuanzia juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli aongoza utafiti Ipsos

Kampuni ya Ipsos jana ilitangaza matokeo ya utafiti wake wa hali ya kisiasa unaoonyesha kuwa mgombea wa CCM, Dk John Magufuli angeshinda kwa asilimia 62 kama Uchaguzi Mkuu ungefanyika Septemba, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akipata asilimia 31.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aongoza matokeo ya awal

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi

Raia nchini Tanzania wameungana na maafisa wa serikali kuitikia wito wa Rais John Magufuli wa kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi.

 

9 years ago

Mtanzania

Rais Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi

Pg 1NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS Dk. John Magufuli jana aliwaongoza Watanzania kote nchini kutumia siku ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika kufanya usafi katika maeneo ya soko la Feri jijini Dar es Salaam.

Akiwahutubia wananchi wakiwamo wavuvi alioshirikiana nao katika kazi ya kufanya usafi, Dk. Magufuli aliwashukuru kwa kujitokeza na kusema kwamba hiyo ni chachu kwa wananchi wengine kujitolea kufanya usafi katika maeneo wanayoishi.

“Ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania...

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aongoza majimbo matatu kwenye matokeo ya awali

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu yaliyokamilisha mchakato huo mpaka jana asubuhi.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AONGOZA SHUGHULI YA WANA CCM KUMDHAMINI MAGUFULI

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudiwa wakati mwanachama wa CCM, Abdallah Milanzi  alipotia saini fomu za kumdhamini, Rais wa Dkt. John Pombe Magufuli katika ili aweze  kuteuliwa kugombee tena urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Machi 09, 2020. Picha na Ikulu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani