Utafiti Ukawa 76% mwingine Dk. Magufuli 62%.
Siku mbili baada ya ripoti ya utafiti uliofanywa na Twaweza kwa njia ya simu kuonyesha kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli angeshinda kwa asilimia 66, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umetangaza matokeo ya utafiti wao yanayompa mgombea wao kupitia Chadema, Edward Lowassa, ushindi wa zaidi ya asilimia 76.
Hata hivyo, vita kuhusiana na ripoti za utafiti baina ya CCM na Ukawa imechukua sura mpya baada ya utafiti mwingine kutangazwa kupitia taarifa zilizosambazwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza
9 years ago
GPL25 Sep
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Jogoo ni Magufuli, mwingine ajaribu baadaye
SASA kumekucha, jogoo limekwisha wika Dodoma, kada wa CCM apewe kura za ndiyoooo!
Mwandishi Wetu
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio)
Leo Dec 22 2015 Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard. Hapa nimekusogeze dakika mbili za Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitolea ufafanuzi wa hatua hiyo ya Rais. Bonyeza Play hapa chini kuna kila kitu Unataka kutumiwa MSG za […]
The post Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania26 Sep
Magufuli: Watanzania tusidekezwe na utafiti
*Asema hawezi kuwa rais bila kupigiwa kura
*Aanza kurusha makombora Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Kahama
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania kutodekezwa na matokeo ya utafiti unaoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Busanda, Mbogwe ya mkoani Geita na majimbo ya Ushetu na Kahama Mjini ya mkoani Shinyanga.
Alisema katu...
9 years ago
Habarileo25 Sep
Magufuli apaa utafiti Synovate
UTAFITI mpya wa kampuni ya Ipsos (Synovate) unaonesha kwamba mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli atashinda kwa asilimia 62 dhidi ya asilimia 31 za mgombea wa Chadema, Edward Lowassa, endapo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ungefanyika leo.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dk Magufuli aongoza utafiti Ipsos
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s72-c/Eyakuze.jpg)
Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%
![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s640/Eyakuze.jpg)
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli