Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dmytro Bulatov kutibiwa Lithuania

Kiongozi huyo wa waandamanaji nchini Ukraine aliyetekwa na kujeruhiwa na watu wasio julikana, amepelekwa Lithuania kwa matibabu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ukraine,Poland na Lithuania zaunda jeshi

Ukraine ,Poland na Lithuania zimekubaliana kuunda jeshi la pamoja litakaloshirikisha maelfu ya wanajeshi.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Marais wa Latvia na Lithuania

 Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) awasilisha Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė kwenye ikulu ya nchi hiyo leo. Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu akiwa pamoja na Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho wake,kwenye ikulu ya nchi hiyo leo.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu awasilisha Hati ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto 55 kutibiwa India

>Wakati mamia ya Watanzania wakifungua zawadi za Krismasi walizopewa na ndugu na jamaa zao leo (jana), zaidi ya watoto 50 wenye matatizo ya moyo wamepata zawadi ya kipekee itakayobadili maisha yao na kuwapa mwelekeo mpya wa maisha.

 

10 years ago

GPL

Kiongera kutibiwa nje ya nchi

Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
DAKTARI maarufu wa michezo nchini ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema kuna uwezekano mkubwa Simba ikalazimika kumpandisha ndege mshambuliaji wake Paul Kiongera akatibiwe. Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera. Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji. “Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA KUTIBIWA KITEKNOLOGIA ZAIDI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,(kulia) akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa jinsi mashine mpya ya Ceragem V3 inavyofanya kazi , wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini . Anaeshuhudia ni Patricia Mndolwa.
Mzee Fransis Kavishe na Bi Ashura...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa hajaenda Ujerumani kutibiwa-Msemaji

Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA KUTIBIWA KITEKNOLOGIA ZAIDI‏

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,(kulia) akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa jinsi mashine mpya ya Ceragem V3 inavyofanya kazi , wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini .
Mzee Fransis...

 

11 years ago

Habarileo

Shekhe akwama kwenda kutibiwa India

SHEKHE wa Mkoa wa Mara, Athuman Magee, amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa akisumbuliwa na matatizo ya pingili za uti wa mgongo huku Sh takribani milioni 10 zikikosekana ili kumpeleka India kwa matibabu. Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Shekhe huyo ambaye amekuwa akiongoza Mkoa wa Mara tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Shekhe Magee anatakiwa kwenda kutibiwa India kutokana na maelekezo ya madaktari.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ulimwengu: Ni aibu kwenda kutibiwa nje

MCHAMBUZI wa masuala ya siasa na kijamii, Jenerali Ulimwengu, amesema ni kitendo cha aibu kwa viongozi wa Bara Afrika kwenda kutibiwa nje ya nchi magonjwa madogo ambayo yangeweza kutibiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani