Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa hajaenda Ujerumani kutibiwa-Msemaji

Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Msemaji Stamico aibiwa gari

MSEMAJI Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico), Leornad Mwakalebela ameibiwa gari lake aina ya Spacio huko nyumbani kwake maeneo ya Tabata Kwa Baharia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Msemaji wa upinzani auawa Burundi

Msemaji wa chama cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji mkuu wa Bujumbura.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba halina msemaji wa Serikali

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wameelezwa kuwa ndani Bunge hilo hakuna Waziri Mkuu, Makamu wa Rais wala mawaziri, wote wana hadhi sawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Assenga msemaji mpya Coastal Union

MWANDISHI wa habari wa Kampuni ya New Habari Cooperation Mkoa wa Tanga, Oscar Assenga, ameteuliwa kuwa msemaji mpya wa klabu ya Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ yenye makazi yake barabara...

 

11 years ago

Michuzi

Msemaji wa Timu ya Coastal Union abwaga manyanga

MIMI Hafidh Athumani Kido, nikiwa na akili timamu natangaza kutojihusisha na shughuli zote za Coastal Union, hasa usemaji wa klabu.
Miongoni mwa sababu nyingi zilizonifanya kutangaza uamuzi huo ni sintofahamu iliyozuka ndani ya klabu yetu, kwa taaluma yangu ya uandishi wa habari lazima niwe na msimamo juu ya mambo yanayoendelea kwenye jamii.
Ili niendelee kufanya kazi na klabu hii kwa wakati huu wa misuguano, lazima niwe na upande; kwa maana upande unaounga mkono uongozi ama upande...

 

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA MSEMAJI WA IKULU, SALVATORY RWEYEMAMU AZIKWA LEO

Askari wakitoa mwili wa marehemu kitika gari. Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mwenzao. Brian enzi za uhai…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani