Dola imeamua kuwapa rushwa wabunge
‘KIINUA mgongo kwa wabunge ni rushwa inayofadhiliwa na dola? Hili ni swali kubwa linalozunguka katika vichwa vya Watanzania hivi sasa. Swali hili linatokana na taarifa zilizochapishwa Januari 30, mwaka huu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Sep
Mugabe aita wabunge kuwapa hotuba sahihi
10 years ago
Habarileo10 Jun
CCM ikisimamisha mla rushwa, itapoteza dola, asema Wassira
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kosa kumsimamisha mgombea mla rushwa, kitapoteza dola.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Wabunge wakerwa matumizi ya dola
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Wabunge wanuka rushwa
WAKATI muswada wa kupunguza misamaha ya kodi unatarajia kujadiliwa wakati wowote, kuna hofu kwamba baadhi ya wabunge wamehongwa na wafanyabiashara waliopiga kambi mjini hapa ili kuukwamisha. Kuenea kwa taarifa za...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wabunge: Wala rushwa wanyongwe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa kisiasa kuogopa kama ilivyo kwenye nchi nyingine.
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni
10 years ago
Habarileo19 May
Wabunge walia na rushwa ofisi za umma
KUKOSEKANA kwa Sheria ya kutenganisha biashara na uongozi ili kuweka nidhamu kwa viongozi wa umma kumesababisha kuwepo na mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa viongozi hao, ambao wamekuwa wakitumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi, hivyo kufanya vitendo vya rushwa kukithiri.
10 years ago
Habarileo27 Sep
Wabunge wapinga kesi za rushwa kupitia kwa DPP
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wametaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ipewe meno ya kushughulikia rushwa kubwa na wahujumu uchumi na wenyewe wapeleke watuhumiwa wao moja kwa moja kortini.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Zanzibar imeamua kurejesha udikteta?
UTAWALA wa kifashisti na udikteta huwa na sura nyingi na nyingine huwa za kuvutia ili kuuhadaa umma (watawala huuona umma kama kundi la mabwege). Madikteta huwa hawajali wala hawaheshimu haki...