Dola milioni 35 kugombaniwa fainali
Argentina na Ujerumani zitagombania dola milioni 35 kwenye mechi ya fainali mjini Rio De Janeiro.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jun
Dola milioni 10 za FIFA zililipwa Warner
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Kanye West akumbuka dola milioni 20
CALIFORNIA, Marekani
NYOTA wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, amekumbuka namna alivyotumia dola milioni 20 kwa ajili ya kurekebisha nyumba yao iliyopo California, nchini Marekani.
Eneo la nyumba yao lina ukubwa wa eka 3.5, ambapo Agosti mwaka jana nyumba hiyo ilionekana kuwa na matatizo madogo madogo.
Kanye amesema marekebisho hayo yameifanya nyumba hiyo kuwa na mwonekano mpya wa nyumba za kisasa, ambapo wanaamini mtoto wao, Nori atakuwa sehemu salama zaidi.
“Tumeona bora tubadilishe...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Maghembe adaiwa dola milioni 284
KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, imemkaanga Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, ikimtaka ajieleze bungeni zilipo dola za kimarekani milioni 284.5 ambazo serikali ilitakiwa kuzitoa ili kufanikisha awamu ya kwanza...
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
UNHCR yapata dola milioni 6 za wakimbizi
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Tullow kuilipa Uganda dola milioni 250
10 years ago
Habarileo05 Feb
Uganda yalipa dola milioni 9.7 tu inazodaiwa na Tanzania
SERIKALI ya Uganda imelipa Tanzania Dola za Marekani milioni 9.7 tu kati ya Dola milioni 18.4 walizotakiwa kuilipa serikali ya Tanzania kama fidia, itokanayo na athari ya vita baina ya Tanzania na Uganda.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_3FDwBPN5zQ/XuISMkYsIsI/AAAAAAAEHts/8Qn6LVzuTKsBMbweYEAZ34PzwDCu6L_3ACLcBGAsYHQ/s72-c/imf.png)
IMF YATOA DOLA MILIONI 14.3 KWA TANZANIA
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha kutoa msaada wa Dola za kimarekani Million 14. 3 kwa Tanzania na hiyo kupitia kikao cha bodi ya wakurugenzi kilichokaa jana Juni 10.
Kupitia mfuko wake wa kupambana na maafa(CCRT ) IMF imeisamehe Tanzania kiasi cha mkopo cha Dola za kimarekani milioni 14. 3 ambazo zilipaswa kulipwa ndani ya miezi minne ijayo kuanzia sasa mpaka tarehe Oktoba 13, 2020.
Imeelezwa kuwa hiyo ni katika kunusuru uchumi wa Tanzania...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China