Dr Amos Adam wa FIFA kuchunguzwa
Mjumbe wa kamati kuu ya Shirikisho la Soka la FIFA kutoka Nigeria Dr Amos Adam yupo chini ya uchunguz dhidi ya kashfa ya ufisadi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Suarez kuchunguzwa na FIFA
Shirikisho la FIFA limeanzisha uchunguzi kwa madai kuwa Suarez alimng'ata mchezaji wa Italia Chiellini
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Upinzani wadai kuchunguzwa Uganda
Rais Yoweri Museveni amelalamikiwa na baadhi ya wapinzani kuwa anawachunguza kwa maslahi yake binafsi
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Facebook kuchunguzwa kuhusu utafiti
Tume inayodhibiti taarifa za umma Uingereza inachunguza iwapo Facebook ilivunja kanuni zinazolinda data ya watu binafsi.
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Wanandoa wa Canada kuchunguzwa China
Mamlaka za China zimewatuhumu wana ndoa raia wa Canada wanaofanya biashara ya mgahawa nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili14 May
Oscar Pistorius kuchunguzwa kiakili
Jaji katika kesi ya Oscar Pistorius, ameamuru mwanariadha huyo apelekwe katika kituo cha afya kufanyiwa uchunguzi wa kiakili.
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Barua pepe za Clinton kuchunguzwa
Maefu ya kurasa za barua pepe binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton zinachunguzwa.
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Zitto ataka TBC kuchunguzwa
>Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto amependekeza kufanyika uchunguzi wa kiufundi ili kubaini sababu za kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televisheni cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati Bunge la Katiba likiendelea juzi.
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Polisi wanyanyasaji kuchunguzwa Kenya
Polisi nchini Kenya wameanzisha uchunguzi wa picha zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zinazoonyesha maafisa wa polisi wakiwachapa viboko raia wa Somalia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania