Dr Slaa akiwasilisha mada katika mkutano ulioandaliwa na TCD.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa akiwasilisha mada juu ya ushiriki wa vyama vya siasa katika mageuzi Afrika katika mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu kwa vyama vya siasa ulioandaliwa na kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na kufadhiliwa na Taasisi ya Demokrasia ya vyama vingi ya Uholanzi (NIMD). Mkutano huo unahudhuriwa na vyama kutoka Malawi, Ghana, Uganda na wenyeji Tanzania na kufanyika Zanzibar
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Sep
MKUTANO WA SIKU MBILI JUU YA MABADILIKO YA TABIANCHI, UHAKIKA WA CHAKULA NA HAKI ZA ARDHI ULIOANDALIWA NA OXFAM PAMOJA NA FORUM CC WAANZA LEO KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE DAR.
Jenerali Ulimwenguambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam pamoja na Forum CC
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
10 years ago
MichuziYANGA YAIZAMISHA SIMBA 4-3 KATIKA MCHEZO WA MWAKA MPYA ULIOANDALIWA NA PSPF
Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.
Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya...
10 years ago
Vijimambo04 Oct
MADA MBALIMBALI ZA UELIMISHAJI ZAWASILISHWA KWENYE MKUTANO WA DICOTA
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU NA AFYA KWA VIJANA DUNIANI ULIOANDALIWA NA TAASISI YA MAMA SARAH BROWN
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Ni nani anayesema uongo katika hili la TCD?
10 years ago
Michuzi06 Jan
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Siri yafichuka mkutano wa Dk. Slaa
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, kutangaza kuachana na siasa na kushusha tuhuma kwa chama chake, maaskofu wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), imebainika kuwa kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari alikutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Dk. Harison Mwakyembe.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Dk. Slaa ambaye alimshambulia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXpWcO6GgCBd-XNKksu785gFGdwvbia*mI6Sisqa1A1UD7sjSY76Ol6zXfbcshtKrk7JT*pmMY-tGYJb-DsgfZZy/DKSLAA1.jpg?width=650)
TASWIRA ZA MKUTANO WA DK SLAA IGUNGA MJINI