Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DROO KUBWA YA MILIONI 50/- YA MIMI NI BINGWA YAKARIBIA‏

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akisisitiza jambo wakati akichezesha droo ya kumi ya promosheni ya Mimi ni Bingwa liyofanyika jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Muwakilishi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Emmanuel Ndaki. Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akizungumza… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ kutolewa Ijumaa

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde alisema droo hiyo itakayobadilisha maisha ya mtu, imepangwa kuchezeshwa katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
"Baada ya miezi...

 

11 years ago

Michuzi

Mkazi wa Bukoba ashinda milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’

 Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ iliyochezeshwa Jumanne jioni katika ofisi za makao makuu ya Airtel. Bw. Rashid Jackob Kagombola, mkazi wa Bukoba  mkoani Kagera alitangazwa mshindi wa shilingi milioni 50. Kushoto ni Mkaguzi mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania Bw. Bakari Maggid. Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akimwonyesha Mkaguzi...

 

11 years ago

GPL

MILIONI 50 ZA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ KUTOLEWA IJUMAA

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Na Mwandishi Wetu
 KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50. Jane Matinde akiwa na baadhi ya washindi wa shindano la Mimi Ni… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi  wa Promosheni  ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini. Meneja Masoko  wa Airtel , Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi  wa… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ YAZIDI KUWAPA WATANZANIA WENGI FARAJA‏

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando (kulia) akisisitiza jambo wakati akiwatangaza washindi wa droo ya wiki ya tisa ya promosheni ya Airtel Mimi ni Bingwa iliyochezeshwa jana na kuwapata washindi wa pesa taslimu ya zaidi ya Shilingi milioni 22 na kumpata Edwin Edmund Kajimbo kutoka Iringa aliyejishindia tiketi mbili ya safari iliyogharamiwa kila kitu ya kwenda kuangalia mechi ya ligi kuu ya Uingereza moja kwa...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU ASHINDA KWENYE PROMOSHENI YA AIRTEL TANZANIA MIMI NI BINGWA‏

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP)...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya leo

Droo ya kupanga mechi za raundi ya mtoano ya timu 16 bora zinazoshiriki klabu bingwa ulaya itapangwa leo mchana huko Nyon, Uswisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Waula promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’

Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeshazawadia wateja wake zaidi ya sh 40milioni katika promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ yenye lengo la kuwazawadia wateja wake na kuongeza chachu ya soka nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani