Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Droo ya kombe la Afrika kufanyika leo

Zambia na waandalizi wa kombe la bara Afrika Equitorial Guinea ni miongoni mwa timu zitakazoorodheshwa katika droo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Fainali ya kombe la F.A kufanyika leo

Timu ya Arsenal ina matumaini ya kumaliza kiu chake cha miaka tisa bila taji lolote itakapochuana na timu ya Hull City

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za kombe la Afrika kuanza leo

Timu zote Afrika zimewasili nchini Equatorial Guinea wakati ambapo mechi za taifa bingwa barani zinatarajiwa kung'oa nanga hii leo

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA MTV MAMA KUFANYIKA LEO, DURBAN AFRIKA KUSINI

Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji, mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa kuwa  msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa Tuzo za MTV Africa Music Award 2014 zikatakazo tolewa leo jijini Durban Kwazulu - Natal nchini Afrika Kusini.
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Droo kupanga mechi kombe la FA yafanyika

Droo ya kupanga mechi za raundi ya 4 ya Kombe la FA imefanyika.

 

9 years ago

Habarileo

Kombe la Kagame kufanyika Z’bar

CHAMA cha soka Zanzibar (ZFA ) kimethibitisha kuwa Zanzibar itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ‘Kombe la Kagame’ Julai mwakani.

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Droo ya Klabu Bingwa Ulaya leo

Droo ya kupanga mechi za raundi ya mtoano ya timu 16 bora zinazoshiriki klabu bingwa ulaya itapangwa leo mchana huko Nyon, Uswisi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Droo ya Europa Ligi kupangwa leo

Matokeo ya upangwaji wa droo ya timu 16 za ligi ya Europa zitafanyika leo nchini Uswisi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani