Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dua ya kuliombea Bunge ni kiinimacho!

“USHIKWAPO shikamana” ni methali yenye maana kuwa ushikwapo na mtu shikamana au jitahidi. Methali hii yaweza kutumiwa kwa mtu aliyepatwa na tatizo kisha akapata mtu wa kumsaidia. Yamhimiza ajitahidi. Wengine husema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKESHA MKUU WA KULIOMBEA DUA TAIFA KUFANYIKA DESEMBA 31-2014 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua maalumu), Askofu Godfrey Mallassy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkesha huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Desemba 31 mwaka huu. Kulia ni Askofu William Mwamalanga wa Kanisa la Kiinjili la Kipentecoste Tanzania.  Mwenyekiti wa Mkesha Mkuu wa Kuliombea Taifa (Dua Maalumu), Askofu Godfrey Mallassy. Kutoka kulia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe kuliambia Bunge si kuliombea

BAADA ya kijiwe kusikia baadhi ya wababaishaji, wataka sifa na wachovu eti kuombea Bunge la Katiba lililoharibikiwa, kimeamua kukaa na kuwakemea wote waombaji na waombewa. Mgosi Machungi anaingia na salamu...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanya ibada kuliombea Bunge Maalum

WANAWAKE wa Kikristo wa madhehebu mbalimbali katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamefanya ibada ya maombi maalumu kuliombea Bunge Maalumu la Katiba ili ipatikane Katiba yenye sura ya Kitaifa na si vinginevyo. Pia wamewaombea wale wote kwa sababu zao binafsi hawapendi kushuhudia Katiba mpya inapatikana nchini, tena kwa njia ya amani na utulivu kuliko ilivyo sasa ambapo vikao vya bunge hilo vimegubikwa na visa kadha wa kadhaa vinavyoashiria uvunjifu wa amani.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE KUZINDUA PROGRAMU YA KULIOMBEA TAIFA, RAIS MAGUFULI


Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala akikagua Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Chuo cha Mipango Dodoma kwa ajili ya kongamano.



SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kesho anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Kuliombea Taifa ambayo inalenga kumshirikisha Mungu vipaumbele na sera zinazotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano ili matokeo chanya yazidi kuonekana kila sekta.

Uzinduzi huo utafanyika jijini Dodoma katika Chuo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bila uadilifu katiba mpya ni kiinimacho

RAIS  anapochaguliwa kawaida huapishwa kuilinda katiba ya nchi. Katika kumwezesha kukitimiza kiapo hicho hupewa mamlaka makubwa ya uamuzi. Hupatiwa jeshi na zana zote zinazomwezesha kukilinda kiapo chake cha kuilinda katiba...

 

9 years ago

Habarileo

Watakiwa kuliombea taifa

KONGAMANO la kimataifa la Kiislamu lenye lengo la kuombea amani nchini wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu, linatarajiwa kufanyika Oktoba 16, mwaka huu mkoani Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakatoliki Dar kuliombea taifa

Karismatiki Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam leo litafanya sala maalumu kuliombea taifa amani na kuweza kukamilisha salama Mchakato wa Katiba Mpya na chaguzi zijazo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pasaka itumike kuliombea taifa

LEO ni Sikukuu ya Pasaka, ambapo Wakristo nchini wanaungana na wenzao duniani kote kuadhimisha kumbukumbu ya mateso, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo. Pasaka ambayo huadhimishwa baada ya siku 40...

 

9 years ago

GPL

Askofu kuliombea taifa mvua

Kutoka kushoto ni Askofu wa Good News For All Ministry, Charles Gadi, Mchungaji James Manyama na Mchungaji Leonard Leonce Kajuna wa kanisa hilo wakati wakielezea mipango yao ya kuliombea taifa. Askofu Gadi (kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo wakati akiongea na wanahabari leo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani