Wafanya ibada kuliombea Bunge Maalum
WANAWAKE wa Kikristo wa madhehebu mbalimbali katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamefanya ibada ya maombi maalumu kuliombea Bunge Maalumu la Katiba ili ipatikane Katiba yenye sura ya Kitaifa na si vinginevyo. Pia wamewaombea wale wote kwa sababu zao binafsi hawapendi kushuhudia Katiba mpya inapatikana nchini, tena kwa njia ya amani na utulivu kuliko ilivyo sasa ambapo vikao vya bunge hilo vimegubikwa na visa kadha wa kadhaa vinavyoashiria uvunjifu wa amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s1600/unnamed+(18).jpg)
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...
11 years ago
Michuzi16 May
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm
![](https://1.bp.blogspot.com/-mOass4AqaZU/U2d7Y1z3-_I/AAAAAAAAAW4/n6Llkx8IWnw/s1600/IYK_Swahili_Invitation_5yr.jpg)
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Dua ya kuliombea Bunge ni kiinimacho!
“USHIKWAPO shikamana” ni methali yenye maana kuwa ushikwapo na mtu shikamana au jitahidi. Methali hii yaweza kutumiwa kwa mtu aliyepatwa na tatizo kisha akapata mtu wa kumsaidia. Yamhimiza ajitahidi. Wengine husema...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kijiwe kuliambia Bunge si kuliombea
BAADA ya kijiwe kusikia baadhi ya wababaishaji, wataka sifa na wachovu eti kuombea Bunge la Katiba lililoharibikiwa, kimeamua kukaa na kuwakemea wote waombaji na waombewa. Mgosi Machungi anaingia na salamu...
5 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE KUZINDUA PROGRAMU YA KULIOMBEA TAIFA, RAIS MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-c2noU-I9vfI/Xkg7vaUqI5I/AAAAAAALdhE/0qFIZlywFj8ED4afuu0gAu9obtSaYKBpQCLcBGAsYHQ/s640/Kiongozi-Mkuu-wa-Huduma-ya-Sauti-ya-Uponyaji-Tanzania-Nabii-Joshua-Aram-Mwantyala-akikagua-Ukumbi-wa-Mwalimu-Nyerere-Chuo-cha-Mipango-Dodoma-kwa-ajili-ya-kongamano..jpg)
Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala akikagua Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Chuo cha Mipango Dodoma kwa ajili ya kongamano.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kesho anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Kuliombea Taifa ambayo inalenga kumshirikisha Mungu vipaumbele na sera zinazotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano ili matokeo chanya yazidi kuonekana kila sekta.
Uzinduzi huo utafanyika jijini Dodoma katika Chuo...
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Ibada maalum ya Mandela