Duka la West Gate kufunguliwa
Jumba la Westgate jijini Nairobi nchini Kenya lililoshambuliwa na magaidi wa Alshabab miaka miwili iliyopita linatarajiwa kufunguliwa upya mwishoni mwa wiki hii.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Duka la West Gate kufunguliwa Kenya
Jumba la kibiashara la West Gate lililoko katika mji mkuu wa Kenya Nairobi linatarajiwa kufunguliwa wikendi ijayo, miaka miwili tangu wapiganaji wa Al shabaab kutoka Somalia kulivamia.
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Duka la Westgate kufunguliwa leo
Duka la westgate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linafungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka miwili tangu lishambuliwe
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GbNX3HXEubY/XqmL7-c-tpI/AAAAAAALolY/kJpwpfyGJ7U4CkfsDd51LggmlRU8bk-xACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200429-WA0007.jpg)
OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-GbNX3HXEubY/XqmL7-c-tpI/AAAAAAALolY/kJpwpfyGJ7U4CkfsDd51LggmlRU8bk-xACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200429-WA0007.jpg)
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria .
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo.
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...
11 years ago
KwanzaJamii14 Jul
Wanafunzi Golden Gate wapata mafunzo maalum
Na Albano Midelo
WANAFUNZI 18 wa shule ya sekondari ya Golden Gate iliyopo Luhira manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepata mafunzo maalum yatakayowawezesha kukabiliana na changamoto za maisha.
Shule hiyo ipo chini ya shirika la kuhudumia watoto yatima linaloitwa St.Teresa Orphan Foundation (STOF) lenye makao yake makuu mjini Songea lililoanzishwa mwaka 2001 ambapo hivi sasa linahudumia watoto yatima wapatao 76.
Mafunzo ambayo wanafunzi hao wamefuzu ni pamoja na mafunzo ya huduma ya...
10 years ago
The Guardian17 Nov
Rich Gulf Arabs using Tanzania as a playground? Someone opened the gate
The Guardian
The Guardian
'The Tanzanian government has reneged on a promise not to dedicate 1,500 sq km of Masai land to a Dubai company that arranges hunting trips for members of the Dubai royal family.' Photograph: Alamy. Monday 17 November 2014 13.01 EST. Share on ...
Tanzania evicting 40000 people from homeland to make room for Dubai royal ...Salon
Masai evicted to make way for Dubai's royal huntThe Week UK
Tanzania turns...
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
Kim Kardashian West na Kanye West wamempa mtoto wao wa pili jina Saint West.
9 years ago
VijimamboNYERERE DAY ILIVYOBAMBA NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI MAMIZ GATE WAY JIJINI MWANZA
Katika kuwajali wakazi wa Jiji la Mwanza, Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani ziliwakutanisha watanzania pamoja na kuketi kwa ajili ya kutafakari siku hiyo.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81011000/jpg/_81011086_morrison_gardner_reuters.jpg)
West Bromwich Albion 4-0 West Ham
Record buy Brown Ideye of Nigeria strikes twice as West Brom ease past 10-man West Ham to reach the FA Cup quarter-finals.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uhX8ASzOPGw/Vd03AIwfKTI/AAAAAAAH0E4/npviTqtYHNI/s72-c/Picha%2Bna%2B1.jpg)
TAASISI YA BILL NA MELINDA GATE YAANGALIA UWEZEKANO WA KUSAIDIA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA KILIMO NCHINI TANZANIA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-uhX8ASzOPGw/Vd03AIwfKTI/AAAAAAAH0E4/npviTqtYHNI/s640/Picha%2Bna%2B1.jpg)
Afisa Mwandamizi anayeshughulikia Sera na maendeleo ya kilimo kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Bill na Melinda Gates Bw. Stanley Wood akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam mara baada ya kufanyika kwa kikao cha mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) nchini Tanzania kuangalia uwezekano wa taasisi hiyo kusaidia miradi ya ukusanyaji wa Takwimu za kilimo nchini Tanzania.Kushoto kwake ni Mratibu wa miradi wa Taasisi hiyo Bi.Bhramar Dey.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1BuDdVAkRwk/Vd03ArxzbeI/AAAAAAAH0FQ/3DP3AlI46zE/s640/Picha%2Bna%2B2.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania