Duka la Westgate kufunguliwa leo
Duka la westgate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linafungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka miwili tangu lishambuliwe
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WESTGATE KUFUNGULIWA UPWA LEO
Jengo la Maduka ya Westgate. Jengo la maduka la westagate lililo katika Mji Mkuu wa Kenya Nairobi linafungua upya milango yake hii leo kwa umma baada ya kufungwa kwa kutumika miaka miwili tangu liliposhambuliwa na wanamgambo wa Al Shaabab Septemba 2013. Watu 67 waliuawa wakati wa makabiliano ya siku nne wakati wanamgambo hao walipovamia maduka hayo na kuwafyatulia risasi watu waliokuwemo ndani ya maduka hayo, kwaua na wengine...
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Duka la Westgate lafunguliwa
Duka la Westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi hatimaye limefunguliwa miaka miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa Al shabaab.
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Duka la West Gate kufunguliwa
Jumba la Westgate jijini Nairobi nchini Kenya lililoshambuliwa na magaidi wa Alshabab miaka miwili iliyopita linatarajiwa kufunguliwa upya mwishoni mwa wiki hii.
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Duka la West Gate kufunguliwa Kenya
Jumba la kibiashara la West Gate lililoko katika mji mkuu wa Kenya Nairobi linatarajiwa kufunguliwa wikendi ijayo, miaka miwili tangu wapiganaji wa Al shabaab kutoka Somalia kulivamia.
5 years ago
Michuzi
OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria .
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo.
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...
10 years ago
Michuzi
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA KUFUNGULIWA LEO DAR ES SALAAM


11 years ago
BBCSwahili17 Sep
Westgate:Mwaka1 baadaye
Mwaka 1 tangu shambulizi la kigaidi la Westgate kutokea mjini Nairobi. Nini kimebadilika Kenya? Haya ni makala maalum ya BBC
11 years ago
BBCSwahili18 Sep
Al Shabaab walivyoshambulia Westgate
Jumomosi Septemba tarehe 21, Al Shabaab walishambulia jengo la Westgate na kusababisha vifo pamoja na uharibifu.
11 years ago
BBC
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania