WESTGATE KUFUNGULIWA UPWA LEO
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/a6.jpg)
Jengo la Maduka ya Westgate. Jengo la maduka la westagate lililo katika Mji Mkuu wa Kenya Nairobi linafungua upya milango yake hii leo kwa umma baada ya kufungwa kwa kutumika miaka miwili tangu liliposhambuliwa na wanamgambo wa Al Shaabab Septemba 2013. Watu 67 waliuawa wakati wa makabiliano ya siku nne wakati wanamgambo hao walipovamia maduka hayo na kuwafyatulia risasi watu waliokuwemo ndani ya maduka hayo, kwaua na wengine...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Duka la Westgate kufunguliwa leo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jGtDXcmyC2o/VaNRNsS7tzI/AAAAAAAHpQA/nEOxWDbfxlk/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA NCHI ZA AFRIKA WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA KUFUNGULIWA LEO DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-jGtDXcmyC2o/VaNRNsS7tzI/AAAAAAAHpQA/nEOxWDbfxlk/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KLOItN84y1s/VaNRNTwnfOI/AAAAAAAHpP8/daBAxUIneC4/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77706000/jpg/_77706605_e4becff5-1072-428e-b919-8780825c3b74.jpg)
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
Duka la Westgate lafunguliwa
10 years ago
BBCSwahili18 Sep
Al Shabaab walivyoshambulia Westgate
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Westgate:Mwaka1 baadaye
10 years ago
Habarileo27 Sep
Hospitali IMTU kufunguliwa
UONGOZI wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) umesema hospitali hiyo inatarajia kufunguliwa mwishoni mwa mwezi ujao. Kufunguliwa kwake kunatokana na kukamilika kwa marekebisho ya upungufu uliokuwepo awali yaliyosababisha hospitali hiyo kufungiwa kwa muda usiojulikana.
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
CPA kufunguliwa na Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete, anatazamiwa kufungua mkutano wa 45 wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) Kanda ya Afrika unaojumuisha wajumbe 500 kutoka nchi 17 wanachama. Miongoni mwa mambo...
10 years ago
Habarileo22 Sep
Kenya wakumbuka ugaidi Westgate
KENYA imeadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa tukio la kutekwa na kushambuliwa na kundi linalodhaniwa kuwa la ugaidi katika maduka ya Westgate na kusababisha vifo vya watu takribani 67.